Leo nataka niwashauri baadhi ya watu wa Serikali!

mzeenyoka

Member
Joined
Apr 28, 2019
Posts
77
Reaction score
52
Huu ushauri uchukueni ktk mtazamo chanya(nafanya hivi kwa mapenzi ktk nchi yangu))

Kunabaadhi ya wafanyakazi Wa serekali wanaitazama mitandao ya kijamii katika jicho hasi sana

Nimesoma katika gazeti LA mwananchi BABU TALE anasema kupitia acc. Yake ya instagram kwamba endapo atapewa eneo na Serekali yupo tayali kujenga INDOOR ALENA ya mfano,
Lkn mtendaji Mkuu Wa wizara anajibu SIMPLE TU kwamba sisi hatufanyi kazi Taarifa za mtandaoni nimeshangaa sana,
yani n kama vile MTU alieshiba anashangaa kumuona MTU mwingine analalamika njaa
(Acc. Ya Babutale IPO verified na hajalalamika kwamba imeibiwa)

Ningekuwa mm ningeita kwanza wataalamu wangu wote tukafanya kikao wapi tunaweza kupata Ardhi kubwa ya kumpa jamaa!!,
then tukijilizisha tunamuita huyu Babutale alichokisema Serekali imekisikia (uzr jamaa kasema n wapi atapata Pesa za kujenga hiyo INDOOR ALENA) Tunamkabidhi eneo bure Leo Leo tunampa mwaka mmoja awe amekamilisha lkn tunamuambia huduma zote zilipwe kwa kutumia machine za EFD Serekali ipate kodi zake kwisha.
Faida ya kuwepo indoor ALENA kila MTU anajua ntataja chache tu Ajira kwa vijana, chanzo kipya cha mapato kwa nchi nk

Baadhi ya Watendaji Wa Serekali lazima mjue DUNIA ILISHABADILIKA watu wametoka ktk ulimwengu Wa makaratasi,foleni,urasimu na milolongo mingi isiyo ya muhimu.

Msaidieni Mh JPM alisema kama unanafasi yakuamua jambo kwa masilahi ya Taifa amua yy yupo Nyuma yako. Sijajua nyie mnapata wapi kigugumizi!!!!

Mfn Raisi Wa marekani anawasiliana na wamarekani wote kupitia Twitter acc.yake tu na wanamuelewa nyie ndugu zangu mnajitoaje katika ulimwengu Wa Mitandao!!!

Kwenye mitandao huku ndio sehemu pekee MTU anaweza kukutana na kiongozi wake ana kwa ana chukueni mawazo chanya ya watu tena ikiwezakana mu acknowledge, Yale hasi yapuuzeni!!!

Screenshot_20190702-132209.jpg
Screenshot_20190702-132312.jpg
 
View attachment 1144619View attachment 1144620
Ndio huu urasimu tunaozungumzia, hilo andiko mpaka lije kupatiwa majibu hata bei za vifaa vitakua vimepanda bei maradufu,chukua hatua basi haa wewe binafsi muite o ngea nae, Tale siyo mtu wa kispoti spoti!
 
Back
Top Bottom