Special kwa ma first born wote.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
1,366
2,000
Kuwa first born ni blessings toka kwa jah..Firstborn ni inspiration kwa wadogo zake. Hekima, busara, upole, uvumulivu na muongozaji ni sifa za sisi ma firstborn.

Firstborn tunaaminiwa kuanzia na wadogo zetu, jamii hadi wazazi. Wakitoka wazazi kwenye familia first born ndo wanaofuatia kwa mamlaka ndani ya Nyumba.
Firstborn hatunyoagi viduku, hatuvai suruali za kubana wala vipusa hii inaonyesha ni jinsi gani tulivyosmart kuanzia kimuonekano mpaka akili.

Wadogo zetu tunawapenda na kuwajali sana misala yenu inatucost ila tunaibeba kama yetu na hiyo inaitwa LOVE from firstborn.

Jipe shavu
 

walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
3,058
2,000
Ok mkuu yani nilikuwa namaanisha hivi kwenye kuzaliwa si kunakuwa na wa kwanza, pili na watatu kwa iyo nilikuwa namaanisha waliozaliwa kama wa pili au wa tatu
hata firstborn kazaliwa katikati mkuu....labda unamainishi nini hapoo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom