guzman_
JF-Expert Member
- Jan 27, 2016
- 1,255
- 2,073
Kupitia mchezo wa jana Harambee na Taifa Stars bila shaka mnalakujifunza kuwa
1. Kuna mambo yafanywe kama yakitaifa sio chama. Taifa stars ni timu ya Taifa sio chama. Na Taifa limegawanyika katika misingi tofauti ya kichama, dini, makabila n.k kujaribu kuihusisha timu ya Taifa na kundi la watu nimakosa makubwa sana.
2. Mara kadhaa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amekuwa akihusishwa na masuala ya michezo watu wanauliza mkuu wa mkoa kama nani! TFF mnajua huyu jamaa hapendwi na mamilioni ya WaTz bado mnaendelea kuwagawa wananchi kwa maslahi yenu na ndg yenu bwana zero brain.
3. Waziri wa michezo ndio mwenye dhamana na michezo. Huyo atumike ipasavyo kama kwenye uhamasishaji, kutangaza jezi n.k. na si vinginevyo.
NB: Sijawahi kuona furaha waliokuwa nayo ndg zangu hapa downtown baada ya timu ya Taifa kufungwa watu walifunga mpaka bar zikatolewa bure kabisa. Hii ni mbaya haijawahi tokea.
Onyo: Simba acheni mara moja kumtukia huyu mtu sisi mashabiki tunawapa onyo la mwisho.