Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
"Wanawake wanapenda huku wakichukia uongo. Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli. Mwanamke hata ukimuambia ukweli kiasi gani hataamini mpaka umdanganye kwa uongo mzuri ndipo anafika kilele cha furaha ya uongo mzuri uliompa. Utamu unakuja pale binti ambaye hajaolewa anapomuomba Mungu ampe mume mwema wakati ana date na mumewa mtu. Dada zangu Mwenyezi Mungu sio CAG. Mungu humjibu mtu maombi yake yule aliye msafi wa mwili, akili, tabia na dhamira ya dhati kwa kile anachohitaji. Unatumia tsh 520000/ kununua high heels na handbags kisha sadaka unatoa 1000/= na unataka kujibiwa maombi yako kwa kutembea na mume wa mtu na sadaka yako konzi??
Habari za Asubuhi.
Habari za Asubuhi.