Start a petrol station

Start a petrol station

Digital Marketer

Senior Member
Joined
May 1, 2019
Posts
112
Reaction score
149
To start a petrol station you need a capital of 450 million tz shillings to 500 million tz shillings.

And you make a profit of 1M and more just selling 5000 liters a day.....assume you in a busy environment...you would probably sell more.

So dear local investors ni mda wa kuvunja kibubu.

Grab the opportunity and come and thank me later.
 
Ungeivunja vunja kidogo hyo mil 500 watu wangeelewa zaidi..

Ujenzi
Kushusha mzigo
Wafanyakazi

N.k
 
Mkuu fanya uchambuzi was hiyo fedha je Ni including petrol pumps eg. 3 mbili za diesel na moja petrol, jengo/Banda, ofisi na mzigo let say 70 elfu petrol na diesel ili tuandae project proposal
 
Mkuu fanya uchambuzi was hiyo fedha je Ni including petrol pumps eg. 3 mbili za diesel na moja petrol, jengo/Banda, ofisi na mzigo let say 70 elfu petrol na diesel ili tuandae project proposal
Petrol pumps ni ukiziangalia mtandaoni ni 2M to 5M za kitanzania...! Ukiweka kodi utajua ni kiasi gani na gharama za usafirishaji...

Pia kujenga nyumba na matank na ile zege ndio gharama kidogo ila sio kubwa hivyo...

Watu mnakuza sana hizi gharama...! Na kutishana...
 
Hii project ipo saana akilini mwangu
Problem kubwa ilikua ni kupata ardhi sehem nyeti(specific area)
 
Umenena jambo jema lkn hiyo million 500 uwe nayo baada ya kupata ardhi! Mtaji mkubwa ni bei ya ardhi! Maana filling station inatakiwa iwe eneo linaloendana na mzunguko so kimbembe kiko kwenye ardhi na watu wa mazingira wakuruhusu kuwa eneo hili unaruhusiwa kujenga filling station! But ni assets bora zaidi maana magari yanaongezeka na ni biashara ambayo ni rahisi kuifanya haina mikiki mingi.
 
JE URAHISI WAKE UKO WAPI MKUU WENGINE HATUJUI UENDA NDO BIASHARA NZUZRI KUFANYA
U
Angaisha kichwa... Kama kweli una itaji hii biashara... Huwezi kosa taarifa sahihi... Ukikosa basi hii si biashara unayo ilenga ila una penda tu kuisikia basi...!

Kupata ardhi sio tatzo kubwa kwa nchi yetu kama ni RAIA wa Tz....

Kuna ma wilaya mengi hayana hii huduma... Kuna site nyingi za uvuvi hazina hii huduma

Haya uwezi ambiwa na mtu ila ni wewe mwenyewe kuangaika

La sivyo tuta kuambia tu ni 2B na hauto Fanya sababu umetajiwa kiasi cha utapeli...
 
Iyo ni pesa ya kununua site bado ujenzi maana ukijichanganya ukaweka site sehemu ya kishenzi unaisoma no.
 
To start a petrol station you need a capital of 450 million tz shillings to 500 million tz shillings.

And you make a profit of 1M and more just selling 5000 liters a day.....assume you in a busy environment...you would probably sell more.

So dear local investors ni mda wa kuvunja kibubu.

Grab the opportunity and come and thank me later.
1,000,000/5000=200
200/- per litre. Okay......
 
Mkuu naomba fursa yoyote ukianza mradi wako tafadhali
 
Back
Top Bottom