Samaleko!
Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu...
Kisi hiki cha Kim Philby ni moja ya visa vya kusisimua zaidi katika historia ya ujasusi Duniani. Ni simulizi ya mtu aliyefika kileleni mwa idara ya siri ya Uingereza huku akiwa anaitumikia adui...
Kisi hiki cha Kim Philby ni moja ya visa vya kusisimua zaidi katika historia ya ujasusi Duniani. Ni simulizi ya mtu aliyefika kileleni mwa idara ya siri ya Uingereza huku akiwa anaitumikia adui...
Habari Nina maswali kwa tume ambayo ningependa kuyafahamu vizuri ili niweze kuelewa.
1.Tume imesema kulikua na mafunzo je nani alikua akiendesha mafunzo hayo ? Je mafunzo yalikua na silaha na ni...
Huu mchezo wa utekaji na kwa mtindo huu unazidi kuwa na nguvu sana.
Nilishuudia mkoa X walitekwa watu zaidi ya wanne.Mmoja alipatikana kijiji cha mbele akiwa amefariki ila wanakijiji walipotoa...
Ni moja ya kitu pekee nakidatiliaga kwa kweli kimejaa elimu Mungu amwangazie huyu mzee anae sikika naielewa sanaa Sauti yake pamoja na matumizi ya lugha yaliyo sheheni tafsida
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinatarajia kuadhimisha Maadhimisho ya 11 ya Wiki ya Utafiti na Ubunifu kuanzia Juni 9 hadi 11, 2026, katika Kampasi ya...
Kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwepo mijadala kuhusu kasi ya ongezeko la raia wa kigeni kutoka China. Kasi hiyo imeibua mijadala mseto katika jamii, hususan kupitia mitandao ya kijamii.
Kuna...
Wakuu nina swali la kisaikolojia. Rafiki yangu alipata taarifa asubuhi kuwa baba yake amefariki na kwa sababu yuko nje ya nchi hakuweza kuhudhuria mazishi yaliyofanyika siku hiyo hiyo si unajua...
Huwa nashangaa sana Watanzania wengi wanaokuja na rejea za Biblia au Quran katika kujenga hoja kwa mijadala ya kijamii/ umma inayobishaniwa au kujadiliwa.
Nafikiri hii ni mojawapo ya ishara ya...
Maiti sita ambazo hazijatambulika zimekutwa zikielea katika Mto Ruvu eneo la Bagamoyo, Mkoa wa Pwani zikiwa zimehifadhiwa kwenye mifuko ya Sandarusi maarufu viroba vya uzito wa Kilogramu 200, huku...
DAWA
Ni aibu sana kuona watu wana simu za kisasa, ila uwezo wao wa akili unaishi kwenye mapango ya kale.
Wiki tatu zilizopita nilitenga masaa 140 nikakaa hapa kusoma, kuchambua na kutathimini Kwa...
Hapa terminal ya Kivukoni Bus ikitoka Kimara lazima dereva apaki kwa dakika 10 au 20 bila sababu za msingi wakati abiria wapo wa kutosha na kusababissha usumbufu kwa watumiaji. Madereva badilikeni
1. Kilimo cha kutupa maendeleo kinahitaji uwekezaji mkubwa wa pesa na sio hiki kilimo cha jembe la mkono na kutegemea mvua.
2. Ongezeko la wawekezaji kwenye pombe kali na kamari unatugharimu...
Maadili ya watoto wa Mlandizi yameporomoka sana, akibainisha kuwa "watoto wadogo wa shule ya msingi wanajua mambo ya k*******". Anahoji watoto wanapata wapi mambo hayo ikiwa sio kwa wazazi wao...
Ni kazi kubwa kumkomboa mtu anayefikiri kuna mchawi wa maisha yake kumbe mchawi ni yeye mwenyewe kayakoroga, mtu wa aina hii ni ngumu kuyatatua matatizo yake .
Kichwa cha Habari
Narudia Tena na Naendelea Kuwaambia Nyie Wanaume wa Miaka 30+ Mnaofeli Maisha na Kukimbilia Bodaboda Ili Mfe, Vaeni Sketi Mkaolewe.
Natema nyongo humu Jukwaani na sitaki...
Habari wanaJF
1.Huacha Mapambo, au vitu vilivyotumiaka katika sherehe iliyokuwa miezi kadhaa iliyopita kama sikukuu ya kuzaliwa, mti wa chrismass mapambo ya ukutani ya mwaka mpya nk.
2. Kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.