Naendelea kuwaambia

Naendelea kuwaambia

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,272
Reaction score
3,027
Kichwa cha Habari

Narudia Tena na Naendelea Kuwaambia Nyie Wanaume wa Miaka 30+ Mnaofeli Maisha na Kukimbilia Bodaboda Ili Mfe, Vaeni Sketi Mkaolewe.

Natema nyongo humu Jukwaani na sitaki salamu zenu za kinyonge hata kidogo.
Hii siyo mara ya kwanza wala ya 3 kuwapa uzi kama huu, na naendelea kuwaambia mara elfu moja kwa sababu inaonekana akili zenu zimejaa tope na hamuelewi, hivyo kila mkisoma hapa najua mnatambua kabisa kuwa nawasema nyie vilaza mnaojiona wanaume wakati ni takataka na mizigo kwenye jamii.

Hivi viumbe mnaofikisha miaka 30+ huna cha maana unachomiliki duniani, mna tofauti gani na wanawake wanaosubiri kuolewa
Yaani una umri huo mkubwa bado unapanga chumba kimoja uswahilini, unachangia choo kama choo cha stendi ya mabasi, bado unajiamini nini kusimama mbele za watu.
Likitokea lolote lile la dharura wewe ndio unakuwa ombaomba namba moja hadi ukoo mzima unakujua kwa mizinga na shida zako zisizoisha, na hata kwenye vikao vya familia sauti yako haina uzito wowote maana ukiinua tu mdomo kuongea kila mtu anajua ni njaa ya unga wa ugali inakusumbua.

hata mama yako mzazi hakupendi na anakuchoka kabisa kwa sababu huna kitu fala wewe
Kibaya zaidi, mkishafeli kila idara mtaani kuanzia malezi, shule, hadi akili za kawaida za kibinadamu, kimbilio lenu la mwisho linakuwa ni bodaboda.

jitu zima lina miaka 39 au 40 na mvi hadi kwenye kidevu lakini bado limekalia chuma barabarani likishindana na vijana wabichi kusubiri abiria wa jero.
Mnanuka uvundo wa jasho lililochanganyika na mafuta ya petroli kuanzia utosini hadi kwenye kucha, na akili zenu barabarani ni sifuri kabisa sawa na akili za kuku wenye mdondo,
Hamna umakini kabisa mnaendesha kwa fujo, hamjui sheria za usalama, mnaovateki kushoto, mnakata kona Bila taa, mnapita taa nyekundu, na kuleta mikiki mikiki ya kijinga barabarani.

Jana tu hapa kuna boda kafa mbele ya macho yangu kabisa baada ya kujipeleka chini ya lori kwa uzembe wake wa kukata mbele ya gari kubwa, lakini sekunde mbili hazikuisha boda wenzake wakajaa pale wakaanza kuleta ufala wao na makelele kama nyuki kutaka kumpiga dereva wa gari kisa tu wana makasiriko yao ya kimaisha na mnahamishia kwenye lami bila hata kujua chanzo cha matatizo.

Huu kama sio ufala wa kufeli maisha na kujitafutia kifo cha mapema ni nini, Mnakimbilia bodaboda ili mfe hovyo barabarani kisa tu dereva alitaka kuwahi abiria wa jero.

wengine mnajiuwa makusudi kabisa barabarani ili kukimbia majukumu ya kifamilia kama yule pumbavu wa juzi pale darajani Salenda Bridge.
Mnaishia kulazwa mochwari na kuacha ulemavu kwa ukaidi wenu wa kijinga wa kugoma kufuata sheria na mkiacha watu wanaowategemea kwenye umaskini na majonzi mazito.

Acheni kujidanganya na suruali nendeni mkatafute sketi mvae, upake na wanja ukakae barabarani ukaolewe kabisa ili msaidiwe maisha na mlaaniwe moja kwa moja kuliko kuendelea kuwa donda ndugu na mzigo kwa jamii inayowazunguka.

Mapovu na wamiliki wa pikipiki mnaorudi na buku tano au mnaosubiri foleni ya mochwari na makasiriko yenu ya barabarani , ukweli huu unawachoma hadi mifupa.

NIMEMALIZA, Vaeni sketi hizo tuzione.
 
Leo sio single mothers ni man with 30+
 
hapana bwashee ili dawa ifanye kazi lazima nipaate ka supu au mtori ka moto
Bwashee hakuna cha supu , ni kupiga kichwani tu😅
20260531_005408.jpg
 
Back
Top Bottom