Huyu dogo Hana Miaka 14. Wadanganyeni Wengine!

Huyu dogo Hana Miaka 14. Wadanganyeni Wengine!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
33,674
Reaction score
97,444
IMG_8940.jpeg

Itakua kwenye 20-25.
 
Naweza kubali ana hio 14 sababu watu wanaofanya mazoezi hasa yale yanayohusisha kukimbia kama mpira wengi hukomaa, kuna yule dogo aliokiwasha olympic zilizopita wa USA somebody Sha'carri, dogo kakomaa tena ni wa kike ila angalia umri sasa, athletes wengi wanaokomaa na mazoezi wengi wanaonekana hivyo sababu ya intesity ya mazoezi yao.

Kuna dogo wa miaka 9 anacheza MMA huko brazili ukimuona utasema ni mzee

Tena Sha'carri isingekua vile mzazi wake kuwa anarekodi mazoezi yake tokea kakiwa kadogo na kuweka mitandaoni basi tungesema aidha ni wa kiume, anatumia homoni au wanadanganya umri
 
Back
Top Bottom