Tabia 10 mbaya za watu tunaoishi peke yetu

Tabia 10 mbaya za watu tunaoishi peke yetu

SIR MGAX

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2023
Posts
1,686
Reaction score
2,837

Habari wanaJF​

1.Huacha Mapambo, au vitu vilivyotumiaka katika sherehe iliyokuwa miezi kadhaa iliyopita kama sikukuu ya kuzaliwa, mti wa chrismass mapambo ya ukutani ya mwaka mpya nk.​

89B28986-C8EF-445D-BA75-072C3B8E22FA.jpeg


2. Kutumia Miguu kwenye shughuli zinazotakiuwa utumie mikono kama kubonyeza swichi, kusogeza vitu, kufunga mlango nk.

3.Kuacha vyombo vichafu mpaka vinaota utando, au kutumia vyombo vichafu.

4.kutumia meza ya chakula kwa shughuli zingine zote kasoro kulia chakula! Mfano, kuweka nguo, rimoti za tv, vifaa vibovu, au vyombo vichafu nk.

5.Kubadili kitanda kuwa begi la nguo, na vifaa vya kazi, huweka nguo pembeni anapolala, na kuzirudisha kitandani akiamka.

6. Hunywa vinywaji moja kwa moja kwenye mdomo wa chupa bila kutumia glass wala vikombe. Na akipika, basi atakula kwa kutumia chombo hiucho hicho alichopikia.

7.Kutopenda kupika na kula mkate au matunda yote yaliyohifadhiwa kwa wakati mmoja. Wakati mwingine hununua vyakula vingi kupita kiasi na kuacha viharibike bila kupiuka wala kuvitumia.

8. Kucheza michezo ya kitoto ndani, na mara nyingi kuwa mchafu kupitiliza.

9.Kutojali kutengeneza vitu vilivyoharibika kwa wakati.

10. Hawapendi wageni wanaokuja bila taarifa kwani wengi wanachojali ni nguo zao tu, kwa kuwa ndizo zitakazoonekana wanapotoka!
 
Sijaona uongelee tabia ya kujichukulia sheria mkononi. Wanaume kuwabaini ni hadi umpekue ila wanawake lazima ukute ana dudu la plastic kwenye kabati na siku hizi wanatumia hadi yenye battery 🔋.
Kwa wanaume kuna wale madogo unakuta anafanya kazi sehemu, geto anakaa peke yake ila huwa haingizi demu. Hao huwa nina mashaka nao sana, na wengi unakuta hawana nguvu miguuni wanatembea kwa kuyumba yumba
 
Hata ukiishi singo hizo tabia ni za kujitakia ,kitaani kuna wana/wadada kibao wa kufanya kazi na kuwapa mtonyo.

Kazi za kufagia uwanja ,kumwagilia maua/gardeni /kuchota maji kama hauna tank ,kusafisha nyumba wanafanya wana.

Kuosha vyombo /kufua nk wapo wadada wanafanya kwa kuwalipa.
 
Back
Top Bottom