Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

hawa jamaa hutumia majina flani flani, mf. dj. short, dj. p, au dj, mixer nk. sijawahi kusikia dj. Mwafilombe wala dj. Lutashobia kama kuna mwenye uelewa atujuze!
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu, hizi ni tabia zangu tano za kipekee ambazo huwa zinanishangaza hata mimi-: 1. Nikiona simba mwenye njaa anamfukuza ngiri halafu akamkosa huwa nasikitika sana badala ya kufurahi kuwa ngiri...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Tume ya Ushindani (FCC), imefanya ukaguzi katika kipindi cha mwaka wa fedha uliopita 2017/2018 wa makontena 3,312 na kubaini kontena 142 zilikuwa na bidhaa bandia. Akizungumza na Mtanzania...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeangalia video nyingi sana za wasanii na wanamichezo wa marekani katika social network wanapenda sana kujirekodi na kuzirusha hizo video zao wakichezea fedha au kuhesabu je ni ushamba au...
5 Reactions
28 Replies
5K Views
HATIMAYE ALIYEKUWA KIGOGO TRA ARUSHA ASALIMU AMRI,ARIPOTI KAZINI CHAPCHAP MWANDISHI WETU,ARUSHA HATIMAYE aliyekuwa meneja msaidizi wa mamlaka ya mapato(TRA) mkoani Arusha upande wa madeni ,Irene...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Nakualika tuchome nyama na pombe hapa mi nishaagiza njoo chap chap tumoke siku yetu hii sie wakulima
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Tishio la uhai wetu na sheria yetu ya mazingira. Ally buyuknohutcu pamoja na mkewe aysin ni miongoni mwa wanaharakati 207 waliouwawa kikatili kama nguruwe mwaka 2017.Kosa lao kubwa lililopelekea...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Leo,ni ndoa ya mtoto na bintiye Kagame anaolewa. Ajabu,barabara zote zinazoingia hapa Kigali zimefungwa!Hakuna ama gari yoyote kubwa wala fuso kuingia mjini wala kutoka. Pia,gari zote ndogo...
8 Reactions
75 Replies
9K Views
Wanajf, let me declare that sijawahi ingia humo kote kote, Mungu anisaidie sana nisiingie huko! Mliowahi ingia huko Na wenye ufahamu Halisi ni wapi kuna unafuu wa kutuliza akili? Ninachokumbuka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu habari. Mada kama ilivyosema hapo juu, ni kwamba jinsi miaka inavozidi kwenda dunia inazidi kuongezewa uzito je haitakuja kudidimia? Tupeane mawazo hapa, kwani baadhi ya vitu vinavyoongeza...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
.
13 Reactions
107 Replies
8K Views
Ni muda mrefu sasa tangu nimeanza kuona mada zake za mapenzi na ngono kule youtube tena anajiita mama Africa,ila mada zake ni za ukakasi hasa kwa lugha anayotumia ni ya wazi mno,atleast angetumia...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Hivi nyoka yeyote akikomaa anakuwa chatu, au chatu ni species aijarishi n mkubwa au mdogo kama Penseli... msaada please.
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Shirika la Msalaba mwekundu limekanusha taarifa za kutofanya uchaguzi na kudai kwamba uchaguzi unaendelea vizuri hiyo tuhuma zilizotolewa ni upotoshaji zipuuzwe. Matawi yaliyotoa report ya hali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salute kwa wewe msomaji. Kwa wale wenye taarifa, hivi wale tausi wa Ikulu kipindi cha Mwalimu Nyerere bado wapo? Kama hawapo, kuna yeyote anajua walipelekwa wapi ama waliishia wapi? Kwa wale tu...
1 Reactions
47 Replies
7K Views
Miaka kumi na nane iliyopita niliandika kitabu kuhusu taaluma ya ushushu!Niliandika kwa kufanya "ONSIT" na mengi yaliyomo katika kitabu hicho ni yale yanayopatikana hapa mtandaoni na mengine ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
habari wakuu naombeni msaada wenu na ushauri, natafuta dawa yakuacha pombe yeyote mwenye ujuzi au maalifa naomba aweze kunipatia, kuna lafiki yangu mmoja anateseka sana kwa izi pombe. asntn
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1.bei ikoje kwa uchimbaji wa machine au Mkono. 2.wahusika wanao chimba wanapatikana wapi? 3.unawezaje kupata maji baridi? 4.changamoto zake zikoje
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Halo JF habari mchanganyiko. Nimemkuta mdau moja akikemea tabia ya uchafu ktk jamii na kusema anasikitika kuwa zama hizi watu wachafu hawashambuliwi na chawa na papasi ili waumbuke kama zamani...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Juzi siku ya j'mosi nilikuwa nasafiri kutoka Simanjiro kwenda Mkoa K'njaro. Nilipomaliza shughuli zangu Moshi nikaamua kwenda Mkoa wa Arusha kwa ndugu ambayo ilinilazimu kupanda basi la kuanzia...
4 Reactions
52 Replies
17K Views
Back
Top Bottom