Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hakika ni gari ambayo ni very economy mafuta kiduchu yaani hata mwalimu wa serikalini anaweza kuimudu cc 650. Service very cheap zaidi ya vitz na ist. Kwa dar yaaani unaweza pack sehemu yoyote...
3 Reactions
51 Replies
10K Views
Ndugu zangu kwa nia njema kabisa naomba vilipo vyuo vya kuchukulia mafunzo ya u sheikh au hata u ustaadh au u maulamaa. Natanguliza shukrani povu sitaki
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Wadau ni matumaini yangu hamjambo na mna afya njema. Tafadhari naomba kuelezwa nje ndani kuhusu mkoa wa Shinyanga hasa mjini, tabia za watu wa kule na mazingira ya kuishi kwa ujumla. Pia bila...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hello wadau ,natumaini Muwazima wa afya njema na mnaendelea na majukumu kama kawaida. Nina swali moja ambalo limekua likinitatiza kwa mda mrefu .Je ile harufu inayokuja inatoka kwenye nguo za...
0 Reactions
2 Replies
800 Views
What is Black Excellence??. "You've been programed to reject BLACK EXCELLENCE Thats why you think Jay-Z is Illuminati and Bill Gates is a hard worker. -Black excellence ni nini Wana JF. Msaada...
0 Reactions
0 Replies
539 Views
MFAHAMU NYUMBU Anafahamika kwa sifa kubwa ya ujinga, pengine kutoeleweka kwa urahisi matendo yao ndio maana hupewa sifa hiyo mbaya ambayo kimsingi hawastahili kuibeba, ni mnyama ambaye huwa na...
9 Reactions
16 Replies
6K Views
Kumekuwa na usumbufu mkubwa wakati wa kuingia viwanja vya Sabasaba pale Kilwa Road unaotokana na maaskari kukagua mtu mmoja baada ya mwingine. Kibaya zaidi wanafungua mizigo ya watu na kuchakua...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naandika haya nikiwa na huzuni kubwa sana Moyoni huku nikiona kabisa hakuna “future” yoyote kwa makampuni ya wazawa na ma engineer wetu(civili) wanaozalishwa kila siku kwenye vyuo vyetu vya ndani...
8 Reactions
44 Replies
5K Views
Bwana Yesu asifiwe wale wa Imani moja pamoja nami,shikamoni wakubwa zangu baba zangu ,dada zangu na kaka zangu, kwa wale wa rika langu habari zeni na mambo zenu vipi? Natumaini kila mmoja wetu...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Leo nimejuta kupanda gari moja na litumishi la umma lisilojitambua! Yaani linasifia ujinga, Mara Mh. Anahamisha wanyama kwenda kuanzisha mbuga ya wanyama kubwa kabisa huko kwao. Eti itakuwa mbuga...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu kuna tangazo nimelipata kutoka redcross, kwakuwa JF ni ina mizizi mirefu, naomba kufahamu kama tangazo hili lina ukweli
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Nimefanya kautafiti nimegundua watu waliofanikiwa lakini hawana elimu ya darasani, wanashukrani sana pia wanarudisha fadhila kwa jamii.. Watu wengi wenye elimu kuanzia Bachelor huwa wanadharau...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Taarifa ya Ofisi ya taifa ya Takwimu (NBS) kuhusu kiwango cha umaskini wa kipato kwa Tanzania bara kwa mwaka 2017/18. Mkoa wa Rukwa unaongoza kwa umaskini nchini ambapo 45% ya wananchi wake...
10 Reactions
167 Replies
18K Views
Naam mambo yameiva hapa ghala la NHC
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu hivi tunakwenda wapi [emoji116]
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Kijana mmoja mkoani Dodoma anashikiliwa na Polisi kwa kumlawiti mama yake mzazi. Kamanda polisi mkoani Dodoma amesema jioni hii kuwa watampeleka mahakamani Dunia imefika huku, ni hatari. Chazo...
2 Reactions
55 Replies
7K Views
Ukiwa na huyu mtu kuna haja ya kuwa na vifaa kama site scan!!?[emoji848][emoji848][emoji848]
7 Reactions
80 Replies
9K Views
nipo kwenye mizunguko yangu ya kimaisha. leo nikasema ngoja nitumie usafiri ambao wengi huwa wanaukwepa. gari yenye mashine kubwa maana nlikuwa naenda kukutana na watu wakubwa ambao ili...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom