Kwa tabia hizi sijui mimi nimeumbwaje

Kwa tabia hizi sijui mimi nimeumbwaje

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
28,700
Reaction score
71,114
Wakuu, hizi ni tabia zangu tano za kipekee ambazo huwa zinanishangaza hata mimi-:

1. Nikiona simba mwenye njaa anamfukuza ngiri halafu akamkosa huwa nasikitika sana badala ya kufurahi kuwa ngiri ameokoa maisha yake

2. Nikiona kobra mwenye njaa anamvizia panya halafu akamkosa huwa nafurahi sana badala ya kusikitika kuwa kobra amekosa mlo

3. Nikiona simba amemkamata chui na kumuua huwa nasikitika sana badala ya kufurahi kuwa sasa maisha ya baadhi ya wanyama yatakuwa salama
4. Nikiona mangoose anamkamata kobra na kumuua huwa ninafurahi sana badala ya kusikitika kuwa maisha ya kobra yamepotea
5. Nikiona baboon anakamata swala na kula nyama au nikiona baboon anakula mayai ya ndege huwa nasikitika sana badala ya kufurahi kuwa baboon anapata protein
Naomba maoni yenu kuhusu tabia zangu hizi
 
Everyday death and life cross each other in serenget plains, is the matter of surviver. Kuishi kwako kunategemea viumbe vingine vipoteze maisha, kama utawaonea huruma wanaotakifa kufa ili uishi then utakufa wewe ili wao waishi this is matter of choice.
 
Vp
Wakuu, hizi ni tabia zangu tano za kipekee ambazo huwa zinanishangaza hata mimi-:

1. Nikiona simba mwenye njaa anamfukuza ngiri halafu akamkosa huwa nasikitika sana badala ya kufurahi kuwa ngiri ameokoa maisha yake

2. Nikiona kobra mwenye njaa anamvizia panya halafu akamkosa huwa nafurahi sana badala ya kusikitika kuwa kobra amekosa mlo

3. Nikiona simba amemkamata chui na kumuua huwa nasikitika sana badala ya kufurahi kuwa sasa maisha ya baadhi ya wanyama yatakuwa salama
4. Nikiona mangoose anamkamata kobra na kumuua huwa ninafurahi sana badala ya kusikitika kuwa maisha ya kobra yamepotea
5. Nikiona baboon anakamata swala na kula nyama au nikiona baboon anakula mayai ya ndege huwa nasikitika sana badala ya kufurahi kuwa baboon anapata protein
Naomba maoni yenu kuhusu tabia zangu hizi
Vp ukila nyama ya n'gombe unajisikiaje?
 
Hii inanikamilishia Imani yangu kuwa maisha ni mtazamo wako binafsi.
Tabia pia ni mtazamo binafsi. Tabia njema kwa bwana Yule sio lazima iwe tabia njema kwa bwana Chee
 
Inaelekea kuwa wewe ni mtu mwenye wito.... unafaa kuwa Padri au mtawa.
 
The shepherd drives the wolf from the sheep’s throat, for which the sheep thanks the shepherd as a liberator, while the wolf denounces him for the same act as the destroyer of liberty, especially as the sheep was a black one. Plainly the sheep and the wolf are not agreed upon a definition of the word liberty.”

― Abraham Lincoln
 
mimi kuna wanyama hata wauwawe kifo cha aje naona poa tu,fisi,nyoka,mbwa mwitu.

simba ni katili sana ila cha ajabu akiweka kwenye 18 sekunde tatu tu,huwa namuonea huruma hata natamani nikamsaidie[emoji16][emoji16].
 
mimi ni zaidi maana hata nikiona mtu anakula muwa nasikitika maana ule muwa umepoteza uhai wake..... yaani nataka watu wasile chochote maana nikuua.... hata sipendi kuona wanyama wakila majani. BINAFSI TANGU NIZALIWE SIJAWAHI KULA KITU CHOCHOTE MAANA NI KUVIONEA HIVI VIUMBE HAI.
 
Back
Top Bottom