Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukiona unaamka Asubuh, Simu yako iko full charge... inafika sa 6... charge imeisha. Tafuta kazi bro, ishara sio nzuri hiyo. Naongea maana ndio experience ninayopitia sasa. This is very serious...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mzuqa Nilikuwa nalikimbilia basi lisiniache kwasababu nisichelewe kazini. Yani baadaye kifua kilikuwa kinawaka Utadhan volcano magna imechanganya lava inataka kuerupt. Nikajua nanyoosha sasa hivi...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Burigi National Park Set To Add More On Tanzania's Splendid Tourist Attractions By Special Correspondent, Johannesburgh, S.A TANZANIA’S tourism industry is very significant to the country's...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wadau Ukiangalia kwa makini kiwango cha maovu na vitendo vya uvunjifu wa maadili vinazidi kuongezeka licha ya uwepo wa dini na madhehebu kila kona. Ushoga, kusagana, sijui biriani...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Kuna jamaa nilimuuzia simu...!!na hiyo simu ni ya ndugu yangu ambaye nilienda nae mwenyew dukani kumnunulia Sasa juzi kapiga simu akilalamika kuwa alikamatwa kisa simu ni ya wizi Yani kiufupi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuuu habar za asubuhi! Nimeamka hapa nikiwa na masikitiko makubwaa sana Jua ya kiongozi wa BAVICHA ambaye alikuwa katka mazingira ya kutekwa na watu wasiojulikana!! Na Mungu akanikisha...
0 Reactions
2 Replies
972 Views
Unaanzaje kumshangaa amber rutty?. Mara baada ya kuachia video yake yakifirauni ,Gafla amber rutty alikuwa maarufu.Blog na online tv zilimsaka kama dhahabu.Wasiomjua walianza kumgoogle hili...
12 Reactions
22 Replies
8K Views
Wachina hawashindwi jambo. Nimeiona hii dawa TZS 3,746.21 40%OFF New Famous Brand Height Increasing Oil Medicine Body Grow Taller Essential Oil Foot Health Care Products Promot Bone Growth...
1 Reactions
110 Replies
12K Views
Naam kama uzi innavojieleza...vijana wengi wamekuwa wakinyemelewa na vipara(kupotea kwa nywele kichwani)hii sijui inatokana na nini ila utashangaa kijana unamuona anakuja kwa mbaali kichwa...
6 Reactions
63 Replies
15K Views
JUNE 29,1960 katika jiji la leopoldvilee (kinshasa) katika sherehe za kuadhimisha uhuru wa congo kutoka kwa wabelgiji lilitokea tukio lililoshangaza dunia msafara wa mfalme kijana kabisa baudouin...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
BRAZIL wametinga Finali baada ya kumfunga Argentina magoli 2 Kwa 0, Brazili kwenye mechi waliyokutana na Peru mashindano haya haya walimcharaza Peru 5 kwa Mtungi, Najiuliza je Peru kapenyaje kwa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
habari hii sasa tatizo imekua sugu, japo wengi wanatoa malalamiko na hii tv ya watoto nickeledean, ambayo ndio tv inayofatiliwa kwa asilimia kubwa na watoto sana, hasa under 15 kwasababu ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Azam tv ikihoji mashahidi kadhaa kwenye eneo la coco beach mjini Dar es salaam, wamedai kuwa maiti wapatao 17 wameopolewa katika eneo hilo katika kipindi cha wiki mbili zilizo pita Wote ni...
13 Reactions
108 Replies
11K Views
Niaje... Jana nilikwenda ofisi fulani za serikali... Nikaambiwa niede ofisi ipo upande wa pli wa barabara... Palikua na mfereji wa maji si mkubwa mdogo tu... Nikasema niruke.. Ile kuruka mguu...
19 Reactions
89 Replies
8K Views
Hizi ndo aina 10 za paka hatari duniani walioishi miaka 1000 iliyopita kabla mwanadamu hajaanza shughuli za uwindaji , wanyama jamii ya paka ndio waliokuwa wakubwa na wenye nguvu kuliko wengine...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mke wa Zitto Kabwe aibuka na kusema mitandao ya kiongozi huyo wa Chama Cha ACT Wazalendo imedukuliwa na taarifa zinazopatikana kwenye Akaunti yake ya Twitter si yeye. Mara ya mwisho Zitto Kabwe...
2 Reactions
122 Replies
14K Views
Tuhuma za mwanamke kuwa na roho mbaya 1. Asilimia kubwa ya wachawi ni wanawake na hupewa tuhuma kibao za ushirikina hasa vikongwe, mabinti,na walio olewa. 2. Magaidi wengi ni ke, wa kujitoa...
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Yani asubuhi nakua wa kwanza kufika ofisini by 7:30 nimeweka finger print kwenye biometric register. Kwenye kazi najituma sana na hakuna kazi kwangu naiona ngumu na wala huwa sibishi bishi...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari zenu wana jukwaa, Mimi ni mgeni katika hili jukwaa hii ni mara yangu ya kwanza kuandika hapa. Kuna kitu huwa kinanitokea katika maisha yangu naweza nikalala nikaota kitu na katika hali ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom