Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,725
- 2,411
Hivi nyoka yeyote akikomaa anakuwa chatu, au chatu ni species aijarishi n mkubwa au mdogo kama Penseli... msaada please.
Hivi nyoka yeyote akikomaa anakuwa chatu, au chatu ni species aijarishi n mkubwa au mdogo kama Penseli... msaada please.
View attachment 1148487
Asante sana mkuuChatu - Python
Hiyo ni specie
Ni kama ilivyo kwa Dagaa. Kuna dagaa Specie ( Hawa wa mwanza)
Lakini pia Neno hilo linatumika kuwakilisha samaki wadogo
Ni aina ya nyoka wasio na sumu. Ni spishi (species) inayojitegemea na ziko 7. Aliyemuhimu kwetu ni Python sebae. Ni nyoka wanaoua kwa "mechanically" kwa kuubana na kisha kumeza mlo wake.