Uongo unasambaa haraka kuliko ukweli

Uongo unasambaa haraka kuliko ukweli

misslayla99

Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
10
Reaction score
9
Miaka kumi na nane iliyopita niliandika kitabu kuhusu taaluma ya ushushu!Niliandika kwa kufanya "ONSIT" na mengi yaliyomo katika kitabu hicho ni yale yanayopatikana hapa mtandaoni na mengine ya kijiweni.Kwakua sina "exposure" ya mada hii nikamwomba one of the guys who was by then writing for "RAIA MWEMA" tushirikiane.
Fast forward years later nikaona anaandika some of the contents in that book on his blog,when i asked his reply was "Mie najua ninachokifanya....Niamini,bila kuanza kuzungumzia hii mada hatuwezi kupata wateja"Nina ushahidi wa hii email.
Fast forward,nikapata email yake tarehe 12/2/2015(alhamisi) kuniomba aweze "kukipublish" kwani ameongezea vitu vingi na ni muda muafaka wa kuweza kuuza na kupata matunda ya kazi yetu.Nilimuomba anitumie nione lakini hakuwa mwenye nia ya kunitumia mpaka nilipolalamika kwa Sister Maria solana(dada yake) ndio akakubali kutuma.
Fast forward kile kitabu leo kinauzwa nakala kwa nakala mbaya zaidi sijawahi kushirikishwa katika hatua yoyote ya hakimilikito sales japokua hapo nyuma alimtumia christina manongi mwisho wa siku ukawa mchanga wa macho.MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI!!!Soon he will see the cosequences ya utapeli wake.Nilijua utapeli wake ungeishia pale nasikia amekua mwizi huko mitanaoni zaidi anaibia mpaka wagonjwa!!!!....Fast forward-The last time i talked to him about the book he ended up blaming Dar RC... mara anawindwa hela zake katapeliwa.In the end akatishia ''KUNILOGA'' endapo nitaongea.Tangu nipo Tz mpaka naondoka sijawah kuona Mtz Tapeli kama huyu,currently amekimbilia Glasgow..poor him.
 
Miaka kumi na nane iliyopita niliandika kitabu kuhusu taaluma ya ushushu!Niliandika kwa kufanya "ONSIT" na mengi yaliyomo katika kitabu hicho ni yale yanayopatikana hapa mtandaoni na mengine ya kijiweni.Kwakua sina "exposure" ya mada hii nikamwomba one of the guys who was by then writing for "RAIA MWEMA" tushirikiane.Fast forward years later nikaona anaandika some of the contents in that book on his blog,when i asked his reply was "Mie najua ninachokifanya....Niamini,bila kuanza kuzungumzia hii mada hatuwezi kupata wateja"Nina ushahidi wa hii email.Fast forward,nikapata email yake tarehe 12/2/2015(alhamisi) kuniomba aweze "kukipublish" kwani ameongezea vitu vingi na ni muda muafaka wa kuweza kuuza na kupata matunda ya kazi yetu.Nilimuomba anitumie nione lakini hakuwa mwenye nia ya kunitumia mpaka nilipolalamika kwa Sister Maria solana ndio akakubali kutuma.Fast forward kile kitabu leo kinauzwa nakala kwa nakala mbaya zaidi sijawahi kushirikishwa katika hatua yoyote ya hakimilikito sales japokua hapo nyuma alimtumia christina manongi mwisho wa siku ukawa mchanga wa macho.MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI!!!Soon he will see the cosequences ya utapeli wake.Nilijua utapeli wake ungeishia pale nasikia amekua mwizi huko mitanaoni zaidi anaibia mpaka wagonjwa!!!!....Fast forward-The last time i talked to him about the book he ended up blaming Dar RC... mara anawindwa hela zake katapeliwa.In the end akatishia ''KUNILOGA'' endapo nitaongea.Tangu nipo Tz mpaka naondoka sijawah kuona Mtz Tapeli kama huyu,currently amekimbilia Glasgow..poor him.
E...hali...
 
Jamani ww mtoa mada...umeandika nn hiki...hapana..hata km nina uchovu wa safari sio kusema nisikuelewe ...hebu soma mwenyewe km unahis mtu wa 3 ataelewa...shida nn ..unakimbilia wap
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom