Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,859
Nakualika tuchome nyama na pombe hapa mi nishaagiza njoo chap chap tumoke siku yetu hii sie wakulima
Kawaida sanaKula maisha mkuu
Piere ndani ya nyumbaKula maisha mkuu
Hili Banda nilikuwepo janaPiere ndani ya nyumbaView attachment 1148707
Njoo tule biaHili Banda nilikuwepo jana
Mkuu umeifanya siku yangu kuwa ngumu sana maana sehemu niliyopo hivi havipatikani koo limeanza kuwasha...Kula maisha mkuu ni mafupi kula mema ya nchiPiere ndani ya nyumbaView attachment 1148707
Karibu tule gambe mkuuMkuu umeifanya siku yangu kuwa ngumu sana maana sehemu niliyopo hivi havipatikani koo limeanza kuwasha...Kula maisha mkuu ni mafupi kula mema ya nchi
Dizim kakaWapi hapo wengine mwanza mwanza
Njoo Banda laNipo kwenye banda la Startimes, nanunua king'amuzi. Karibuni tuonane hapa na kupiga picha ya kumbukumbu.
Nipo kwenye banda la wanyama
Hahahaha ndio mimiKumbe ndio ww
Haha maliasili hapo njoo WindhoekNipo kwenye banda la wanyama
Sawa mkuuHaha maliasili hapo njoo Windhoek