Red Cross yakanusha tuhuma za kutofanya uchaguzi wa wakati. Yadai mchakato wa uchaguzi unaendelea vizuri

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Shirika la Msalaba mwekundu limekanusha taarifa za kutofanya uchaguzi na kudai kwamba uchaguzi unaendelea vizuri hiyo tuhuma zilizotolewa ni upotoshaji zipuuzwe.

Matawi yaliyotoa report ya hali ya matawi kwa ajili ya uchaguzi!! :
Manyara✅,
geita✅
Morogoro✅
Kagera✅
Ruvuma✅
Dar ✅
Songwe ✅
Singida✅
Tanga✅

IMG-20190707-WA0012.jpg


 
Back
Top Bottom