Yuyo Ahumile Shamalendi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 993
- 782
Wakuu habari.
Mada kama ilivyosema hapo juu, ni kwamba jinsi miaka inavozidi kwenda dunia inazidi kuongezewa uzito je haitakuja kudidimia?
Tupeane mawazo hapa, kwani baadhi ya vitu vinavyoongeza uzito ni viumbe hai pamoja na mimea, lakini vitu kama majengo, magari, meli, ndege, matreni na makolokolo mengi haya yalikuwepo kutoka ardhini, kinachofanyika ni kuyahamisha kutoka udongo kua majengo na kutoka mawe kua majengo pia kutoka vyuma kua magari na vyombo vinginevyo, ni kama kutoa pesa mfuko huu na kuweka mfuko huu.
Viumbe hai vinaongeza uzito kwa kuzaliana pamoja na kwamba vinakufa, lakini speed ya kufa na kuzaliana hazilingani, na mimea pia inaongezeka kwa kuota.
Kwa hiyo kutokana na hali hiyo Dunia haiwezi kuja kuzidiwa uzito?