Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Pichani binti huyo wa miaka 15 kwa jina la Blessing amepewa mimba na kaka yake wa tumbo moja anayeitwa Fredrick(35) na sasa ananyonyesha baada ya kujifungua Baada ya kuripoti, akihojiwa na police...
1 Reactions
48 Replies
11K Views
Sasa hivi kwa vile hela ni ngumu kupatikana mwa deal, kuna namna ambayo waajiri/ officers wenye uwezo wa kukurudisha kazini, kuna mbinu inayotumika kupiga pesa. Ni hivi, kwenye taasisi za serikali...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ata huyu unamuogopa?
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakili Leornad Manyama amesema kwa mujibu wa kifungu cha 69 na 71 cha Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, Mwanamke au Mwanaume ana haki ya kwenda Mahakamani kufungua kesi ya kutaka kulipwa fidia kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Polisi mkoani Singida wamemkamata kijana mmoja mkazi wa Arusha kwa tuhuma za kujifanya afisa wa JWTZ mwenye cheo cha Luteni. Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida, Sweetbert Anjewike amesema baada ya...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu tutambue kuna nchi dunia hii tunaishi sisi watu wanakaa mwezi mzima hawajasikia taarifa yeyote ya Ajali na hata ikitokea basi inakuwa ni bahati mbaya kwelikweli sio kama huku...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Wiki yangu mpya imeanza na kusoma habari za Yusufu kwenye Biblia:Jinsi alivyokuwa na ndoto kubwa lakini baada ya kuwaambia ndugu zake walimchukia na kutaka hata kumuua.Jinsi ambavyo alijikuta...
1 Reactions
4 Replies
875 Views
Wasalaam Najaribu kupata uzoefu toka kwa wadau! Binafsi hufanya safari za Mara kwa Mara kwa barabara! Katika safari zangu za mkoa wa Rukwa safari yangu huwa inaingiwa na ukakasi nikishafika...
6 Reactions
278 Replies
29K Views
Tanzania Assemblies of God Naona wako ibadani kwenye uwanja wa shehe Amri Abeid Arusha ibada inaendelea inaonyeshwa live Star TV Hadi Askofu mkuu wa TAG katandika kofia kichwani ila mzungu...
2 Reactions
72 Replies
9K Views
Wiki iliyopita niliandika kuhusu Asilimia kumi ambayo serikali za mitaa huwa wanaidai hasa maeneo ya mijini baada ya wahusika kuwa wameuziana nyumba au kiwanja. Nikasema wazi kabisa bila kungata...
3 Reactions
16 Replies
5K Views
Hapa singida leo ni siku ya tatu tunahakikiwa vyeti mara baada ya tapeli kuvuruga zoezi lililokuwa likifuata, tapeli kumbe alishapenyeza watu wake wengi sana . kakamatwa juzi na wana usalama na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau nadhani mnazifahamu zile nyumba zilizokumbwa na mafuriko mwaka 2012 jirani na Jengo la Klabu ya Yanga nyingine zinatazama barabara ya morogoro jirani ni kituo cha Mwendokasi cha Jangwani...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Amazing experience to see and photograph these beautiful animals in the wild with my family. Karibu Ruud van Nistelrooy ameweka picha za wanyama mbalimbali katika ukurasa wake wa Mtandao wa...
5 Reactions
10 Replies
4K Views
SITAKWENDA TENA KANISANI Mwaka Fulani Nilipata Nafasi Ya Kuwatembelea Ndugu Ambao Walikuwa Wakiiishi Mbali Na Mkoa Niliokulia. Ilikuwa Furaha Iliyoje Kutokana na Kutoonana kwa Mda Mrefu...
22 Reactions
68 Replies
11K Views
Mhasibu wa halmashauri ya jiji la Arusha, Charles Jacob anasakwa na Mwajiri wake na ametakiwa kujisalimisha kituo cha polisi kabla ya kumpiga pingu kwa madai ya kutafuna kiasi cha sh,milioni 84...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nashangaa jamaa wa tanesco hapa wanaimba matusi mazito huku wakiweka nguzo kwenye shima. Nimekaa na mafundi flani wao ni matusi mbele kwa mbele. ukiingia kwa makonda, machinga ukisikiliza story...
4 Reactions
36 Replies
5K Views
Wanabodi kama mnavyojua Kitaa hamna ajira, vijana watatu tuliamua kujikopa kwenda kuwekeza kwenye machimbo madogo madogo ya Dhahabu uko Mkoa wa Geita Kata ya Butobera kijiji cha Nyang'o mango...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Come to think of it. Kuna huyu demu ambae tangu nianze kuwa na interaction nae naona nimepata financial breakthrough. Nilikutana nae kwa mara ya kwanza kwenye kwenye hoteli moja jijjni Dar Es...
4 Reactions
41 Replies
8K Views
Mamlaka Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa miezi minne kwa Vituo vya Redio Kanda ya Ziwa kurekebisha mapungufu mbalimbali yaliyopo ikiwemo wafanyakazi kufanyishwa kazi bila mikataba ya ajira,vituo...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Back
Top Bottom