Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mzuqa! Kundi la mwisho la Nyangumi wanaotoka Antarctica kuelekea Kaskazini wako njiani. Wanapitia South Africa kusini kwenye bahari ya South Atlantic wakielekea juu North Atlantic. Kawaida...
10 Reactions
35 Replies
5K Views
Juzi kati nilipata wkt mgumu baada ya kuambiwa nipime HIV TEST kuna mtu alinibananisha sehem nkasema potelea mbali acha nipime leo, kupima nakuta negative sikuamini maana sehem nlizopita kwa kweli...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanajukwaa,Tafadhali mwenye mawasiliano ya Kapunga rice project limited anisaidie,Hawa wanausika na izalishaji na kupaki mchele wako kijiji cha Kapunga wilaya ya Mbalali jijini Mbeya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, Athuman Kihamia Arusha. Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, Athuman Kihamia amewataka wananchi wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KIJANA Athuman Khamis ambaye ni Mkazi wa Kijiji cha Usongwa katika Kata ya Bukene wilayani Nzega mkoani Tabora anatuhumiwa kumuua kwa kumchinja bibi yake Rahel Daud(67)mkazi wa kijiji hicho huku...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamani kuweni makini na matapeli leo wamenipiga sh 10,000 nimetuma mwenyewe ishu iko hivi, nilipigiwa simu namb ngeni ya vod mida saa nne asbh akajitambulisha kuwa customers care vodacom, kuwa...
11 Reactions
66 Replies
8K Views
Mahakama ya Tanzania inapendekeza makosa yote kuwa na dhamana kwa kuwa hatua hii itasaidia kuondoa msongamano wa Mahabusu kwenye Magereza mbalimbali nchini. Akizungumza na Waandishi wa habari...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wale watumishi walioitwa hewa nchini Tanzania walifukuzwa bila Kufuata sheria, kanuni na taratibu za kiutumishi. Wakiamua kwenda mahakamani watarudishwa na kulipwa haki zao zote. miongoni mwa...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari ya jumapili.. Naombeni namna ya kuacha roho ya huruma..ambapo hata pale unakuta msaada naotoa utaniadhiri (hasa kiuchumi).huwa bado nashindwa jizuia kutoa
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Hatua alizoanza kuchukua mh. Rais ya kuisafisha CCM inapaswa kuungwa mkono na CCM ikiwemo jumuiya zake zote kwani ni hatua nzuri ambazo zitakiimarisha chama cha mapinduzi, kama hamuwezi kuandamana...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Watu watano,hata mngekuwa kumi hadi elfu moja,uwe kijana,umri wa kati au mzee thamani yenu ni ndogo sana mbele ya Watanzania zaidi ya Milioni 55. Mshukuru sana sheria zetu zimekuwa soft soft kama...
0 Reactions
1 Replies
695 Views
Wakuu, Ngoja tupoze kidogo pressure za clip zinazovuja huko. Hapa chini Padre Maliva ametoa historia inayosisimua na hasa upande ambao pengine hausemwi sana. Kanisa Katoliki na uhuru wa...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Hello JF, Nimeona thread hapa nikajiuliza… kwa nini,kwenye vyama vyetu kusiwe na kanuni, wakimsimamisha mgombea..na akawa Rais,awe careful monitored kwa maslahi ya Taifa Kama term ni miaka...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
1 Leo katika mihangaiko yangu akati nipo katika usafiri wa umma mitaa ya sinza africa sana kukawa na kijifoleni kuuliza uliza kuna mwananke kakutwa kafa katika maua ya pale barabarani kabla ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika miaka ya 1967 kuelekea 1970 katika nchi ya China ya kikomunisti palizushwa vuguvugu kali kabisa lililoitwa "mapinduzi ya utamaduni". Lengo la mapinduzi hayo lilikuwa nihaja ya wale...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kiukweli Kanisa hili linapaswa kupongezwa kwani tofauti na akina Kakobe Tanzania Assemblies of God wamejikita katika huduma za kiroho na kamwe si mashabiki wa siasa. Hata wakati ule mchungaji...
11 Reactions
253 Replies
29K Views
Habari wadau, ni matumaini yangu kwamba mpo sawa. Leo kwenye makala yangu, tunapitia maajabu ya jiografia ya dunia na kujionea vyanzo kadhaa vya maji ambavyo vimekuwa tishio kwa maisha ya viumbe...
32 Reactions
101 Replies
12K Views
Vile vifurushi vya Internet sh.500 mb 350 Kwa wiki sasa halotel wamevitoa na badala yake 500 inakupa dk 30 halotel kwa halotel na mb 250 kwa lazima.Huu wizi binafsi sijaupendelea na vifurushi vina...
6 Reactions
69 Replies
53K Views
Hospital ya vichaa dodoma Gereza la la vichaa dodoma Makao makuu ya nchi kuhamia Dodoma kabla ya 2020
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom