Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1607723/
1 Reactions
46 Replies
49K Views
Wapendwa habari zenu. Natumaini mnaendelea vizuri. Mimi ni mfanya biashara wa mifugo. Huwa napeleka ng'ombe na kuuza katika Minada mbalimbali ikiwemo minada mikubwa ya Pugu Dsm na Kizota Dodoma...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
KUNA MAMBO YANAFANYIKA WAHUSIKA.WANAJISAHAU WAKO KWENYE ZAMA MPYA ZA KUFANYA KAZI MH MAKONDA HII NJIÀ YA MBEZIBEACH HUKU.RAINBOW IMEUNGANA KUTOKEA TANKIBOV HAPA BP AJABU KUNA MASHIMO HUKO...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanaJF naomba msaada wa uzoefu wenu.Kuna rafiki yangu week iliyopita alikwenda ubalozi wa Netherlands kufanya interview ya Visa ya safari ya Netherlands kwaajili Conference huko.Maswali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi ni waraka haukueleweka au watu wamekimbilia kwenye clips zisizo na uthibitisho? Mbona waraka haujibiwi? ".Usimlaani Mfalme (hata kwa siri) Katika Mawazo Yako. Wala Usimseme Tajiri Ukiwa Peke...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Dodoma. Jeshi la polisi mkoani Dodoma limemshikilia RAJAB RAMADHAN[32] aliejifanya askari polisi Kwa kutapeli watu mbalimbali. Akizungumza na waandishi wa Habari ofisini kwake jijini...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Enyi viongzi wa hii mikoa mjitathimini mlale mkiota masoko ya dhahabu na madini mengine Mbeya-chunya(gold,) Tabora- soma hiyo(gold) Kahama-(gold,almasi) Geita-(gold, tayari lipo...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Naomba msaada, mwenye kufahamu hotel Kahama mjini. Isiwe na kelele za Bar, Night Club au Kumbi za Harusi. Budghet yangu TZS 20,000. Asante
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwa wasiolewa Suala hili wanaliona simple, Ilianzia USA kufukuza wasio wazawa, ikaja SA kuwafukuza wasiowazawa kwa kuchukua kazi zao, Uingereza vijana waliibuka kwa ushabiki kupiga kura ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
One Tanzanian woman was arrested after detectives of Special Operating Team, Malkajgiri Zone, Rachakonda along with local police busted an international human trafficking racket in Hyderabad...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Mkuu wa mkoa wa Iringa Alli Hapi ameliagiza jeshi la polisi kuwakata mshahara kiasi cha shilingi milioni 1 askari wake 10 waliohusika kumvunja mguu kijana Maiman Mwakajenge akiwa katika...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Ni muda wa siku tatu sasa Airtel Tanzania internet yao inakatika tu ghafla. Inaweza katika hata zaidi ya masaa matatu. Cha ajabu Airtel wanashindwa kutuma meseji za kuomba radhi au hata kufidia...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Picha JESHI la Polisi, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma linawashikilia watu wawili wakazi wa kijiji cha Membe ambao ni mume na mke, kwa tuhuma za kusababisha binti kutoroka shuleni kutokana na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajia kusikiliza ushahidi wa kesi ya Utakatishaji fedha inayomkabili aliyekuwa Rais wa (TFF) Jamal Malinzi na wenzake kwa siku tatu mfululizo. Hayo yameelezwa...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Naomba kujuzwa,nimtazamo wangu,ni hali ya kawaida kwa bimadamu hasa pale anapobezwa kutothaminiwa kana kwamba hakufanya lolote katika uongozi wake, kwa vyovyote minongono haitaweza...
0 Reactions
4 Replies
934 Views
Kutoka asubuhi Kanisa la Tanzania Assemblies of God linasherehekea miaka 80 toka kuanzishwa kwake .Sherehe ziko live uwanja wa shehe Amri Abeid Arusha .Toka mwanzo Niko nafuatila Kama...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu.Kwanza habarini za kazi wakuu. Nimeona niwaombe ushauri wakuu maana nimeamka na kujikuta nina pesa nyingi sana kwenye akaunti tangu benki ila sijui zimetoka...
2 Reactions
81 Replies
8K Views
Nimekuwa nasumbuliwa sana na ndege waharibifu wa mazao shambani na hivyo nikashauriwa kuwa naweza kutumia drones ndogo ndogo kwa ajili ya kufukuzia hao ndege waharibifu, sasa je nahitaji kuwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom