Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je ni kuna madhara yoyote kumpost kwenye mtandao endapo ukaona mtu katupwa? Tuelimishane tafadhari!
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro na maeneo jirani leo wameshuhudia uzinduzi wa safari mpya ya treni ya mizigo baada ya safari za treni hiyo kusimama kutoa huduma zaidi ya miaka 12 iliyopita...
12 Reactions
38 Replies
5K Views
Wa mkoani ametia timu. Ni kawaida yetu tukiwa na safari ya kuja kuosha macho lazima tuweke akiba kwa muda..ili kupoza ugumu wa kuaccess miundombinu ya jijini. Ngoja nianzie hapa kwa Julius...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Binadamu tunapenda mambo ya mkato, kiuhalisia njia za mkato si nzuri hata kidogo kwa sababu kila kitu unachokiona kina mwanzo wake na kimefikia hapo kilipo kwa sababu kuna mchakato unatumika...
11 Reactions
26 Replies
3K Views
" Kombe lenyewe baaayaa" # Mau Fundi wewe hauna kipaji ila wewe ndo KIPAJI chenyewe..kukwambia una kipaji cha kuchekesha ni kukukosea heshima kwa sababu wewe ndo kipaji chenyewe.
3 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari guys najua humu kuna watu wenye uelewa ambao wanaweza kulipima hili swala Nina brother yangu anakaa German but now amekuja tz amefika last week na wageni watatu toka huko sasa kuna swala...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nauliza yule mbunge wa jumbo la Kalenga ambaye alichaguliwa baada ya baba yake kuaga dunia yupo wapi? Bungeni hasikiki tena ni kijana kabisa Jimboni haonekani tena ana nguvu kabisa Ahadi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nilikuwa nina tamani sana kujaribu maisha nje ya afrika na ilikuwa ndoto yangu ya muda mrefu. Nimejaribu kuondoka Tanzania toka mwaka 2015 bila mafanikio mwaka 2017 nikafanikiwa kwenda kujaribu...
69 Reactions
240 Replies
62K Views
Ndugu zanguni nauliza hapa mkoani Dar es salaam ni wapi kuna Gun Range kwa ajili ya kujaribu na kujifunza shabaha kwa silaha mbali mbali?
1 Reactions
21 Replies
7K Views
CHATO! CHATO! CHATO!!! Tundu AM Lissu, MB Tienen, Ubelgiji Chato imetamalaki kwenye vichwa vya habari vya magazeti mengi ya Tanzania katika siku za karibuni. Chato imetawala mijadala katika...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Huwa nashangaa sana kuskia na kuona Mabango na matangazo mbalimbali yakiandikwa kwa lugha za kigeni mfano kingereza wakati walengwa ni watanzania Lugha ya taifa ni kiswahili, sasa najiuliza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Upepo mkali uliotoka jana Mcheweni Pemba umepeleka kupotea kwa boti mbili zikiwa na jumla ya watu 8 Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba Mohammed Shamim...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewakuta na kesi ya kujibu aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu(TFF), Jamal Malinzi na Katibu wake Selestine Mwesigwa katika mashtaka 20 kati ya 30...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Hi ni mtandao gani huu unaoweza kudukuliwa kirahisi tuuhame. Kama kweli hawa waliodukuliwa na ikafundulika kuwa ni mtandao mmoja basi natoa wazo watanzania wote kwa umjumla wetu tuupige chini...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Habarini wana jukwaa, niko mkoa na nina shida na namba ya dokta Baki wa Kibaha. Niweze kuwasiliana nae kabla sijaja uko tafadhali mwenye nayo
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Naanza kwa kumpongeza Mh Rais John Magufuli kwa kazi kubwa ya kuendesha nchi na kupigania haki za wanyonge, tumeshuhudia hivi karibuni mkuu wa nchi akitembelea Gereza Kuu la Butimba Mkoani...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Msemaji Wa TCRA amesikika redioni Leo July 23 wakati akihojiwa na mtangazaji juu ya tuhuma za kuvuja kwa faragha ya mazungumzo ya simu mitandaoni! AMEJIBU "Wao kama TCRA hawajapokea tuhuma hizo...
3 Reactions
51 Replies
8K Views
Kwanza salaam na heshima yako zikufikie popote ulipo mwana jf ,Wakuu na ombi kwa mwenye uwezo wa kusaidia naomba anishike mkono .Iko hivi ajira zimetoka za afya alafu vyeti sjachukua chuon...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Wanabodi Hii kitu imekuja kwa kasi sana sio ilala,temeke,kinondoni,tanga mjini,pwani,tabora ,kigomaa kiufupi mitaa yote vijiwe vyote hadi njiai ni gumzo Utakuta vijana wakiwa na machupa makubwa...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Mojawapo ya vilevi hatari zaidi duniani, kisaidizi katika kuharibu mahusiano, ndoa, uzalishaji, afya na husababisha mawazo. Nilikuwa kwenye discussion leo kutoa mawazo yangu juu ya jambo hili...
9 Reactions
48 Replies
34K Views
Back
Top Bottom