Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu habarini. Nimetoka mihangaikoni leo narudi nyumbani naweka miguu juu ya kochi nachukua remort controller nawasha TV nakutana na message hii (chini) kuonyesha kuna tatizo mitambo ya DSTV...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 22 Julai, 2019 amemuapisha Mhe. George Boniface Simbachawene kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiukweli sikutarajia kabisa nilichukua line yao kiutani arusha mjini nimezunguka mikoa ya kaskazini yote tena vijijini kitu ipo h+ na 4g muda wote ina speed balaa Ttcl...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kipindi Makamu wa Rais na baadae Waziri mkuu akija kufungua mradi wa maji hapa Nansio Ukerewe pamoja na Kata za Mukituntu, Namagondo, na Igalla alisema Idara ya maji hakikisheni maji yanatoka ili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kukamatwa kwa meli ya mafuta na Iran: Theresa May kuongoza kikao cha dharura dhidi ya Iran Waziri mkuu wa Uingereza ataongoza kikao cha kamati ya dharura siku ya Jumatatu baada ya meli ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NEMC imetangaza kufanya mkutano na wamiliki wa kumbi za starehe, kumbi za sherehe na baa waliopo mkoa wa Dar es Salaam, kufuatia kupokea malalamiko mengi kuhusu kushamiri kwa kelele na mitetemo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
SISIEMU NI MACHOZI, VISASI, RISASI NA DAMU!! Enhee!! Sasa tunakwenda vizuri. Sasa walau picha linaanza kutoa taswira. Kama ni gari taratiibu limeanza kushika mwendo!! Stering namuona kwa mbali...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Lilikuwa gazeti moja pendwa hapo nyuma lilipotoa habari hii na leo tunashuhudia haya tuliyosoma na kuyasikia.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Msingi wa elimu bure ni zao la Tamko la Kimataifa la Haki za Binadamu la mwaka 1948 ambapo elimu ya msingi ilitamkwa rasmi kuwa ni haki ambayo Serikali inapaswa kuitoa kwa raia wake. Article 23...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu jamaa 'Dr. Mwaka' ni zao la awamu ya nne iliyokua imejaa ujanjaujanja kibao. Mwaka alifekisha kama yeye daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama. Dr. Kigwangalla kama Naibu Waziri wa Afya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mko makini wapendwa!! Kwa yanayoendelea Sasa nchini kila Yuda atajulikana tu.Tukiachana na hizi politiki zetu mbofu mbofu nimejikuta namtafakari sana mwana wa Iskariote, Yuda wa galilaya....hivi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika utawala wa Awamu ya NNe hakika nilikata tamaa na hiki chama kwa sababu pamoja na juhudi za rais kuweka juhudi kutupaisha kiuchumi lakini waliomzunguka kuanzia Waziri Mkuu (Ngoyai) na akina...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Kipindi cha hivi karibuni kumeibuka visa vingi sana vya mauwaji hasa kwa wanaume kuuwa wake/wachumba zao sababu za wivu wa kimapenzi. Kuna msemo unasema kuwa "Epuka kumpenda mtu au kuingia katika...
18 Reactions
159 Replies
17K Views
Kusindwa sio kinyume cha mafanikio ila ni sehemu ya mafanikio. Alifeli shule,akafeli siasa akaanguka akafungwa ,katikati ya kuta za gereza akainuka akaanza tens harakati hatimae akaja kuwa raisi...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
TATHMINI iliyofanywa na Wizara ya Kilimo, imebaini halmashauri 46 katika mikoa 13 zenye dalili ya kukubwa na upungufu wa chakula kutokana na changamoto zilizoathiri uzalishaji wa chakula kwa msimu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Watu sita wamefariki dunia na wengine 22 wamejeruhiwa katika eneo la nyambula kata ya Ngogwa Wilayani Kahama mkoani Shinyanga baada ya gari aina ya Totoya hiace yenye namba za usajili T 710 AZZ na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
"Wanaume wanatumia muda mwingi kuwekeza lakini wavulana wanatumia muda mwingi kupendeza. Wanawake wanawaza ubadae bora wa kutunza familia lakini wasichana wanashindana kuonekana kwa wavulana...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Wananzengo embu tujuzane hapa kidogo, hivi mantiki ya kutoa rambi rambi ni ipi? Ninadhani rambi rambi ingekuwa inahitajika kufanikisha shughuli nzima ya mazishi kuanzia ununuzi wa sanda, pesa ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari my brothers and sisters. Mdogo wañgu ana degree ya special education amehitimu mwaka Jana anataka kuwa mwalimu Wa Veta yeye ni Fundi masonry pia je vyuo vinapatikana wapi? Au afuate...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Binafsi nashindwa kukamilisha hatua za awali kabisa za kujisajiri ili kufanya maombi hayo. Nimejaribu kwenye web app ya chuo cha MUST na kile cha DIT lakini vyote vinaleta error yenye ujumbe wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom