sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,171
Sasa hivi kwa vile hela ni ngumu kupatikana mwa deal, kuna namna ambayo waajiri/ officers wenye uwezo wa kukurudisha kazini, kuna mbinu inayotumika kupiga pesa.
Ni hivi, kwenye taasisi za serikali ambazo kuna aina mbili za ajira, yaani permanent and pensionable na mkataba. Sasa pesa inapigwa kwenye mkataba.
Mwajiri anaandika kwa serikali hitaji la wafanyakazi muhimu kwenye eneo fulani. Sasa waajiriwa hao wa mkataba/muda mfupi ambao ni syndicate, yaani wanajuana. Mfano, mwajiriwa wa mkataba anaambiwa, nakupa mkataba wa mshahara wa 1,500,000 monthly, lakini wewe utapata 1200,000/= monthly, 300,000 utanipa mimi mwajiri, ukikataa hupewi mkataba, au inafanyika termination ya mkataba. Au hakuna tena renewal ya mkataba. Hivyo ndo mchongo unavyofanyika, huko serikalini hawajui, wao kazi yao ni kulipa pesa. Ndo maana huku kwetu, wastaafu kibao wanaendelea na mikataba, na watu wasio muhimu wanaendelea na mikataba yao. Hela ngumu