Mchezaji wa zamani wa vilabu vya Manchester United na Real Madrid, Ruud Van Nistelrooy atembelea mbuga Tanzania

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
753
3,096
Amazing experience to see and photograph these beautiful animals in the wild with my family. Karibu Ruud van Nistelrooy ameweka picha za wanyama mbalimbali katika ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter

Screenshot_20190722-085300.png

Van Nistelrooy ambaye kwa sasa ni kocha wa timu ya chini ya miaka 19 ya PSV Eindhoven ameonesha kushangazwa na uzuri wa Wanyama hao, amewakaribisha watu Tanzania

Kabla ya kutundika daluga alizichezea timu za Den Bosch, Heerenveen, PSV Eindhoven, Manchester United, Real Madrid, Hamburger SV na Málaga
 
Amazing experience to see and photograph these beautiful animals in the wild with my family. Karibu Ruud van Nistelrooy ameweka picha za wanyama mbalimbali katika ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter

View attachment 1159339

Van Nistelrooy ambaye kwa sasa ni kocha wa timu ya chini ya miaka 19 ya PSV Eindhoven ameonesha kushangazwa na uzuri wa Wanyama hao, amewakaribisha watu Tanzania

Kabla ya kutundika daluga alizichezea timu za Den Bosch, Heerenveen, PSV Eindhoven, Manchester United, Real Madrid, Hamburger SV na Málaga

Tanzania nzuri sana karibuni. Wenye wivu wajinyonge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom