TAG huwa wanavaa kofia kwenye ibada kana waislamu? Naona wamevaa kofia kwenye ibada.

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,910
51,904
Tanzania Assemblies of God Naona wako ibadani kwenye uwanja wa shehe Amri Abeid Arusha ibada inaendelea inaonyeshwa live Star TV Hadi Askofu mkuu wa TAG katandika kofia kichwani ila mzungu anayehubiri yeye naona kagoma kuivaa akijua Yuko ibadani.Lakini viongozi wengi wa TAG naona wamelamba kofia .Hivi TAG wao nao huvaa kofia ibadani Kama waislamu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom