Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,475
Ata huyu unamuogopa?
Kabisa mkuuHapo vipepeo wanaweza kutua wakidhani ni maua
Huyu ni "Juvenile green tree python"Huyo nyoka ni bongo moja la handsome.Ni aina gani asee
Huyu chatu hana shida yoyote kwa binadamuHakuna Nyoka mzuri...
Ni mzuri kama unavyomuona, Pia hana sumuKwani huyo nyoka ana kitu gani kinachomtofautisha na nyoka wengine mpaka uulize kua nae anaogopewa pia?
Uzuri wa Nyoka unapimwa kwa kutizama vitu gani? kama ni rangi,kila mtu anayo rangi aipendayo,hatufanani.Ni mzuri kama unavyomuona, Pia hana sumu
Nyoka mzuri sana ukimkaanga na mafuta ya mawese asikuambie mtu huko Asia bei yake sio mchezoHakuna Nyoka mzuri...
Hamchelewi.Amchelewi kusema anapatikana burigi
Mkuu nimesema pia hana sumu... Ni kati ya nyoka 10 warembo zaidi dunianiUzuri wa Nyoka unapimwa kwa kutizama vitu gani? kama ni rangi,kila mtu anayo rangi aipendayo,hatufanani.
[emoji23][emoji23][emoji23] sio burigi... Anapatikana chatoAmchelewi kusema anapatikana burigi
Yani ni mtamu kuliko samakiNyoka mzuri sana ukimkaanga na mafuta ya mawese asikuambie mtu huko Asia bei yake sio mchezo