Wanawake mapacha wana nyota kali sana

Wanawake mapacha wana nyota kali sana

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
20,006
Reaction score
37,928
Come to think of it. Kuna huyu demu ambae tangu nianze kuwa na interaction nae naona nimepata financial breakthrough.

Nilikutana nae kwa mara ya kwanza kwenye kwenye hoteli moja jijjni Dar Es Salaam yeye akifanya kazi kama muhudumu.

She is a black beauty. Ilikuwa kila akinihudumia nilikuwa nampa tip ( Keep change )

Ilikuwa nikitoa tip ya buku nne basi kwenye michongo yangu lazima niingize kati ya milioni 5 hadi kumi.

Nikawa interested na kuwa naenda kwenye hoteli alio kuwa anafanyia kazi binti huyo.

Baadae akahisi namuelewa so akaanza kuwa " anadeka" kwangu.

Nikienda kutumia kwenye hoteli hiyo akiniletea bili anasema na yeye anataka kunywa robertson ambayo kwenye hotel yao inauzwa like 15 thou but yeye alikuwa anasema.ni 25 thou but nilikuwa nampa tu na kumuongezea nyingine . Blv or not ilikuwa kila nikimpa hela basi lazima nipige mkwanja mrefu.

Siku moja akanipiga mzinga wa laki nikampa nikapiga kama.milioni kumi na ushee.

Next time akaomba nimkopeshe milioni 2 akasema anataka kufanya biashara nikamwambia sitoweza kumkopesha hela hiyo kwa sababu najua hatoweza kunilipa ila nitampa tu but kwa sharti moja tu nalo ni lazima awe mpenzi wangu kwanza.

Kama kawaida ya wadada warembo she played hard to get for like two months mpaka leo. Leo amenipa mzigo nimekula.

Wakati nakula mzigo simu nilikuwa nimeweka silence. Namaliza kula mzigo naenda kucheki simu yangu nakuta meseji ya jamaa nilikuwa namdai mkwanja mrefu tu amenitext kwamba ameshaweka pesa hiyo kwenye akaunti yangu. Nilipo angalia muda ambao meseji imetumwa ni muda ambao nilikuwa juu ya kifua cha huyo demu nikila vyangu.

Tumeachana na demu nimeenda kucheki benki nakuta mzigo umeingia kweli
I was surprised.

Nilikuwa nataka nimpe laki tano tu but kwa sababu hiyo nimempa milioni tatu.

Najua pesa niliyo mpa ni pesa yake mwenyewe sio pesa yangu.

Ukipata mwanamke ambae ni pacha i say usiachane nae ikiwezekana muoe kabisa.

Mapacha wana nyota kali sana.

Huyu demu even though she is a single mother but i will never leave her kwa sababu ana nyota kali sana

Naenda na kwa babu kumfunga kabisa. Ila.anapenda hela huyo!!!!

# Leo ndo najua yeye ni pacha. She has told me this her self . Na leo ndo nimemgonga kwa mara ya kwanza.

Naona kuna simu ya hela inaita hapa ntakuja kumalizia story baadae...

# Ni pacha mdogo. Meaning an addition
" God Hass Added" Na ukweli Mungu ameongeza.

# Feeling Blessed !!!
 
Jamani na mm ni pacha...naomba niwe mkweli(sijisifii..maana mume ashanisifia saaaan😏😏😏)..kila napofika huwa naambiwa maneno km haya ..!mbn mnanipa ngvu hv jamani😅😅...huku nliko wananita NSABI🤗🤗...akakema kenaka ha ka sabi ka henaha💃💃💃💃...!.huku washazoea watu fulan ni wanaume...dadek..nakula nao sahan 1 tu...yaan respect kwa sana tu...!

kuna ukwel sana jaman mapacha tumebrikiwaga🤗🤗..kuna pacha humu rafiki yangi kipenzi hebu kuja kunipa LIKE huku mie 🤗🤗!

mhimu pumzi tu na afya
 
hahah
images(12)-picsay.jpeg
 
Maisha haya ukiishtukia nyota ya mtu inalipa unatambaa nayo unaacha nyoya tu

Back
Top Bottom