Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwenye maisha kuna kitu kinaitwa “Daring Spirit”(roho ya uthubutu). Huu ni ule utayari wa kufanya vitu VIGUMU ama VINAVYOHATARISHA bila kuogopa madhara yanayoweza kutokea. Mara nyingi unapotaka...
3 Reactions
2 Replies
896 Views
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kuonekana katika maisha yangu, Happy birthday to me positive is normal, Kuwa na virusi sio mwisho wa maisha cha msingi ni kufata tu masharti
56 Reactions
137 Replies
17K Views
Nahitaji laptop iliyotumika budget yangu ni 300000 mwenye nayo tuwasiliane napendelea zaidi hp
0 Reactions
3 Replies
859 Views
Habari wana JF, Kuna swali huwa najiuliza nakosa majibu. Kama nilivyouliza kwenye kichwa cha habari hapo juu! Hivi ninawezaje kujua gesi imekaribia kuisha??Gesi kwenye mtungi ambao natumia...
4 Reactions
77 Replies
16K Views
Kuna Mawaziri Watatu Ndiyo wanapokea simu na nikiwapatia Malalamiko ya Wananchi wanayafanyia Kazi 1.Medadi Kalemani ( Nishati) 2.Kangi Lugola ( Mambo ya Ndani) 3.William Lukuvi( Ardhi) Na...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mbunge wa Tarime vijijini amefiwa na mdogo wake katika ajali mbaya iliyotokea mlima Nyamwaga. Ajali imetokea mchana wa leo mlima Nyamwaga unaopatikana wilayani Tarime ikihusisha gari aina ya...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Natumaini ni wazima Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni sehemu gani naweza pata msaada wa kupata hela za majini au za kichawi ambazo takuwa tajiri kwa muda mchache tuu ili niinjoy maisha...
0 Reactions
26 Replies
34K Views
Hapo kale palikuwapo na dola, Mfalmewe mwenye nguvu, Akiwa na mguu moja na jicho moja, Alopata vitani kulinda himayaye, Mpole na mwenye hekima. Siku moja mfalme akizungukiake, makumbusho ndani...
8 Reactions
18 Replies
3K Views
Ebwana Leo nimejitokeza katika uwanja huu kijaribu kuelezea shida na huruma ninayowaonea Dada zangu waliopo maeneo haya! Hakika wamegeuza biashara ya ngono kama cha kuwaingizia kipato! Jamani...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Swabahtul kheir... Wakuu mie sio mzoefu saana wa kununua bidhaa online ila niliamua siku kujifunza nikaanza purchasing... kama mwezi mmoja hivi uliopita nimeagiza bidhaa saba tofauti ila kumbe...
1 Reactions
2 Replies
707 Views
MAOMBI KUANZA KESHO TAREHE 1 AGUSTI 2019 KWA JUMA ZIMA. TAFADHALI SAMBAZA TANGAZO HILI KIASI UWEZAVYO. MSIOGOPE - UTAZAMENI WOKOVU MKUU WA BWANA! "Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amekabidhi hati ya viwanja kwa wananchi 144 wa Kata ya Tambukareli ambao maeneo yao yalitwaliwa na Serikali. Kunambi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Prof Kamuzora RAS Kagera: Tatizo lile lile nililolisema awali. Falsafa ya Elimu yetu ni kuwa watu wanasomea taifa na si kusomea maisha yao. Hivyo, wote mnaingizwa kwenye behewa kuelekea kwenye...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwana-mfalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman anakusudia kutengeneza mji utakaokuwa na kliniki za kuhandisi jini za binadamu, mvua na mwezi vya bandia, wahudumu maroboti, taxi zinazopaa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habarini za siku pole na kazi Mimi nimeanza kazin, miezi Mitatu nyuma ila walidai kuwa wataniangalia kwanza utendaji wangu ndani ya miezi 3, siku 90 kwa kunipa kiasi fulani cha mshahara Miezi...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Habari wana nzengo wenzangu Hivi ni kwanini hawa jamaa hawana mpango wa kujenga ofisi (ofisi kuu)wanaishia kupanga pale ofipani kinondoni? Uzi tayari
1 Reactions
8 Replies
1K Views
habari......natafuta masoko/wateja wa kamba za katani/kudu kwa bei ya jumla: Kamba ya mita 100 kwa piece 10 ni sh 15000 kamba ya mita 200 kwa piece 10 ni sh 30000 kwa anayehitaji au anamjua mtu...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameamuru waratibu 24 wa TASAF ngazi ya Wilaya wakamatwe kwa kuruhusu marehemu hewa walipwe fedha za TASAF na kuisababishia hasara ya zaidi ya Milioni 300...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Uzi huu ulindwe kwa maslahi mapana ya taifa Kuna filamu inaitwa ABU HAMZA inaendelea kule ZBC2 Kuna filamu zimejaa maudhui ya itikadi Kali sana zinarushwa bila shida na mamlaka zipo kimya kwa...
17 Reactions
103 Replies
11K Views
Leo mida ya saa kumi na moja ama na mbili nilikuwa nikibarizi/nikitembea hapa jangwani karibu na daraja la msimbazi huku nikijiandaa kupandisha juu kuelekea mtaani mara ghafla gari moja aidha...
7 Reactions
43 Replies
6K Views
Back
Top Bottom