Habarini wadau;
Katika kijiji cha Majimaji wilaya ya Tunduru Mkoa wa Ruvuma kimevamiwa na tembo wengi wanao kadiriwa kuwa arobaini ambao kwa sasa wamekuwa sehemu wakazi wa kijiji hicho kwa...
Habari za kazi wana JF!
Nina dharura imejitokeza nyumbani hivyo naamua kuuza mtambo wangu niliyokuwa nafungia mtaa, SamSung Galaxy Note 4 niliyoinunua Mlimani City wiki 2 zilizopita baada ya kulia...
kutokea lugalo hadi mwenge huwa kuna foleni isiyo ya lazima kwa Gari zinazoelekea mjini inayosababishwa na kituo cha bus mwenge upande Wa Efhata bank!
Eneo hilo pamoja na kwamba kuna mchoro...
IMEELEZWA kuwa Tanzania ni kinara katika suala la udahili wa wanafunzi katika elimu ya awali barani Afrika na hivyo kuifanya kupiga kubwa katika utekelezaji wa maelengo ya maendeleo endelevu...
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema hana uhakika iwapo viongozi watakaokuja baadae wataweza kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu.
“Mara...
Mimi ni mteja wa Mwauwasa na kwa wastani ninalipa Tshs.25,000 kwa mwezi. Tulielezwa kuwa kuanzia mwezi huu kutakuwa na marekebisha ya bili za maji kwa sababu Mamlaka imekuwa ikipata hasara kila...
Katika kabila fulani, zamani hizo za utawala wa machief ya jadi, Chief alipokuwa anatema makohozi, wananchi waliokuwa wanamzunguka wanaitikia "baba tema Neema, chakula na kila baraka". Walikuwa...
Mtoto wa miaka saba ambaye alikuwa akilalamikia kuumwa na taya yake amepatikana na meno 526 ndani ya mdomo wake kulingana na hospitali moja nchini India ambapo alikuwa akifanyiwa matibabu.
Mtoto...
Wakuu heshima kwenu!! Mwenye kujua ubora na dhaifu au mapungufu ya Simu Tajwa hapo juu... maana nataka ninunue... Sasa kuuliza sio ujinga nisije nikaingia mkenge
Hivi katazo la mifuko ya plastiki ni kwa mifuko myeusi au? Sababu sasa hivi naona vimekuja vimfuko vya plastiki vyeupe ila havina mikono, je vina utofauti gani na vyeusi au rangi na tunapoelekea...
Huu ndio ukweli kuusu uzungu wa ki Twiga(tizi). Mwezi juzi ninetokea Dodoma kuja jiji la kitalii(ARUSHA) kuja angalia namna yakupata mkate wetu wa kila siku baada yakuona maombi mengi mno kuja...
Kuna kijana mdogo miaka kat ya 18-20 kajitupa huku kwenye boat ya Azam Kilimanjaro 4 kwenda Znz kutoka Dar es salaam, mishale ya 1639hrs. Mabaharia wa boat wamemuokoa. Hongera kwao
Inatajwa kuwa #Mende walikuwepo duniani miaka milioni 120 iliyopita,kabla ya wanyama wakubwa kama vile Dinosaurs na bado hajawahi kupotea.Mende ni mdudu anayetajwa kuwa anauwezo wa kuishi siku...
Richard Nixon alikua raisi wa 37 wa Marekani. Bwana Nixon ndio raisi pekee wa Marekani aliejiuzulu. Tatizo kubwa la Nixon lilikua kurekodi maongezi ya simu watu wengine hasa wapinzani wake...
Kiwanja kina sq 663 kipo Buyuni CCM chanika block 19 plot namba 270 kina nyumba imefika kwenye renta.
Ninashida sana naomba mwenye kuhitaji anicheck mimi mwenyewe mmiliki hakina cha darali...
Kuanzia leo, mtu atakaehitaji nimtumie pesa yake kwa Tigopesa halafu akathubutu kuniambia nimuwekee na ya kutolea, basi nitamwambia apande daladala aje kuchukua pesa yake cash, sio lazima nikupe...
hali imekuwa ngumu kiasi cha kubadilisha sio tu mfumo wa maisha bali mfumo wa salamu zamani ilikuwa ....vipi kwema ..mambo yanakwendaje kwema kabisaaa
siku hizi salam mtu ukimuuliza mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.