mawaziri watatu ndiyo wanapokea simu

mawaziri watatu ndiyo wanapokea simu

Joined
Dec 8, 2018
Posts
12
Reaction score
5
Kuna Mawaziri Watatu Ndiyo wanapokea simu na nikiwapatia Malalamiko ya Wananchi wanayafanyia Kazi

1.Medadi Kalemani ( Nishati)
2.Kangi Lugola ( Mambo ya Ndani)
3.William Lukuvi( Ardhi)

Na Kidogo wa Maliasili
( Khamisi Kigwangala)
Nayeye kaanza kubadilika anapokea simu

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]

_Dr Bashiru Ally_

*Katibu Mkuu CCM Taifa*
 
Kwamba anawasemea hao ambao hawapokei simu?.. Kwa nani sasa?
 
Sasa siangemtumia Meseji mwenyekiti wake sisi yanatuhusu nini
 
Kuna Mawaziri Watatu Ndiyo wanapokea simu na nikiwapatia Malalamiko ya Wananchi wanayafanyia Kazi

1.Medadi Kalemani ( Nishati)
2.Kangi Lugola ( Mambo ya Ndani)
3.William Lukuvi( Ardhi)

Na Kidogo wa Maliasili
( Khamisi Kigwangala)
Nayeye kaanza kubadilika anapokea simu

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]

_Dr Bashiru Ally_

*Katibu Mkuu CCM Taifa*
Kwani hao mawaziri wanawajibika kwa Bashiru? Mbona sijaelewa huu mfumo wa uongozi ukoje
 
Kwa Lukuvi sahihi kabisa, maafisa ardhi wa manispaa Morogoro walinizungusha hati ya kiwanja for 8 months... Nikampigia akapokea na kunisaidia, ndani ya wiki moja tu faili likaenda Dodoma....
 
Back
Top Bottom