Msaada jinsi ya kupata hela za majini au kupata uchawi wa hela

CHIEF JJ

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
1,022
287
Natumaini ni wazima

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni sehemu gani naweza pata msaada wa kupata hela za majini au za kichawi ambazo takuwa tajiri kwa muda mchache tuu ili niinjoy maisha haya?. Hata kama ni za ndagu mie zazitaka na nipo tayari kukubali masharti ya aina yoyote yale.
Mshana jr na wengine naombeni msaada wenu, NIpo tayari kwa masharti ya aina yoyote yale.
Maisha ni mafupi sana inabidi niyafurahie mda huu
 
ukipata majibu nishtue nami nahitaji wakike wakukazana nae Najua hawahitaji kuhongwa pia awe anatoa mtandao pendewa
 
Natumaini ni wazima

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni sehemu gani naweza pata msaada wa kupata hela za majini au za kichawi ambazo takuwa tajiri kwa muda mchache tuu ili niinjoy maisha haya?. Hata kama ni za ndagu mie zazitaka na nipo tayari kukubali masharti ya aina yoyote yale.
Mshana jr na wengine naombeni msaada wenu, NIpo tayari kwa masharti ya aina yoyote yale.
Maisha ni mafupi sana inabidi niyafurahie mda huu
Ungejua madhara ya hizo hela usingezitaman,cha msingi mwombe mungu atakubariki achana na hizo hela za matapeli,kila kilicho ndani ya ulimwengu huu ni cha mungu mwombe atakupa.
 
Natumaini ni wazima

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni sehemu gani naweza pata msaada wa kupata hela za majini au za kichawi ambazo takuwa tajiri kwa muda mchache tuu ili niinjoy maisha haya?. Hata kama ni za ndagu mie zazitaka na nipo tayari kukubali masharti ya aina yoyote yale.
Mshana jr na wengine naombeni msaada wenu, NIpo tayari kwa masharti ya aina yoyote yale.
Maisha ni mafupi sana inabidi niyafurahie mda huu
Upo tayari kutoa tigo? matajiri kibao wanagawa hela ukiwapa tigo, ngoja nikutumie namba zao za simu
 
Usipende shortcut hakuna pesa za majini otherwise utakuja kuolewa mkuu pambana kwa njia halali
 
Kuna mganga ambae amekuwa succesfull kutajirisha watu, yupo Zanzibar anaitwa Al Haj Kiringo. ukifika bandarini muulizie utafahamishwa... ni maarufu sana
 
Chukua namba za hao matapeli
7dbc597dda7ddd4de64ce2ed9e55009a.jpg
 
Back
Top Bottom