state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,515
Uzi huu ulindwe kwa maslahi mapana ya taifa
Kuna filamu inaitwa ABU HAMZA inaendelea kule ZBC2
Kuna filamu zimejaa maudhui ya itikadi Kali sana zinarushwa bila shida na mamlaka zipo kimya kwa muda sasa
Filamu zinaonyesha wasiokuwa waislam wanauwa na kuchinjwa hadharani huku wanaouwa hupewa vyeo ,mali na wanawake
Filamu zinazonesha maudhui ya kujitoa mhanga hadi kufa kisha wanappngezwa kwa kuwauwa wasio kuwa waislamu
Filamu zinazoonesha haja ya kueneza dini kwa mauaji na mateso kwa walioikataa mpaka wakubali
Filamu inayonesha kama mwanamke sio kitu mbele ya jamii yake
Japo sheria haiitambui Zanzibar kama nchi ya kidini vilevile Tanzania bado hi filamu zisingefaa kwa dunia ya sasa na hofu ya machafuko.
Mnataka mpaka nchi ichafuke au vitendo vya ugaidi vizidi ndio mkemee
chanzo ZBC2