Muongozo Wakuu

Muongozo Wakuu

Midozenj01

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
421
Reaction score
422
Swabahtul kheir...
Wakuu mie sio mzoefu saana wa kununua bidhaa online ila niliamua siku kujifunza nikaanza purchasing...
kama mwezi mmoja hivi uliopita nimeagiza bidhaa saba tofauti ila kumbe nimeandika details zoote fresh except post code yaan po box nimekosea... kati ya bidhaa hizo ya mwisho imebakiza week mbili kufika zingine zimebakiza siku kadhaa kati ya hizo nne nimagiza aliexpress mbili kikuu na moja ebay.
hivyo basi wakuu naombeni mnipe muongozo kuipata mizigo yango au tumtag someone mwenye kujua upon it..
ahsanteni sana
 
Kama namba ya simu na address ya ulipo uliweka utapata tu. Mzigo huwa unafika posta kuu ya mji uliopo then wanakupigia simu unaenda kupokea. Gharama za kupokelea Ni kama tsh 2500 kwa parcel
 
asante sana mkuu..
namba nimeandika zangu fresh na pahala nnapokaa pia nimandika ila PO BOX tuu ndo siijui kabisa
 
Back
Top Bottom