John Heche afiwa na mdogo wake kwenye ajali iliyotokea.

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,821
11,527
Mbunge wa Tarime vijijini amefiwa na mdogo wake katika ajali mbaya iliyotokea mlima Nyamwaga.

View attachment 1168435



Ajali imetokea mchana wa leo mlima Nyamwaga unaopatikana wilayani Tarime ikihusisha gari aina ya Hiace na watu takribani 9 wanadaiwa kufa papo hapo na wengine wametoka wakiwa mahututi.

Gari lilikuwa linafanya safari kati ya Tarime na Mugumu wilayani Serengeti.

Mashuhuda wanadai gari limefeli break na wamedai kulikuwa na watu zaidi ya 20 ndani.

View attachment 1168387

View attachment 1168435
 
Wadogo zake huyo jamaa karibia wote ni wale walevi wa pombe kupindukia na wabishi kishamba sana na wanajfanya wajuaji wa kila kitu kisa kaka yao Mbunge!

RIP.
Nani mlevi kwa wadogo zake John Heche?
 
Wadogo zake huyo jamaa karibia wote ni wale walevi wa pombe kupindukia na wabishi kishamba sana na wanajfanya wajuaji wa kila kitu kisa kaka yao Mbunge!

RIP.
Wew mwenyew lilevi ebu angalia unapiga kelele msibani.Jinga linamcheka jinga mwenzie pumbavu huna lolote
 
Ni yupi huyo mdogo wake?
Au ni yule alokuwa akifanyakazi Acacia Northmara? Ambaye alifukuzwa kisa alikuwa kiongozi wa NUMET?
 
Back
Top Bottom