Miaka 23 bila kutumia ARV, miaka miwili tangu nianze Kutumia ARV, Happy birthday to me

Mkuu,nilizaliwa na VVU miaka 25 iliyopita, nilianza kutumia ARV baada ya kinga kushukuka,nikiwa shule ya msingi nilipima CD4 zikawa ziko juu bado,miaka hiyo Cd4 zikiwa juu huanzishiwi ARV, mwaka 2016 kinga zilishuka hivyo nikaanza ARV, kwa sasa kinga zimepanda mkuu, kwa maelezo zaidi soma hapa Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI - JamiiForums
Mkuu kwa nini ulianza kutumia ARV hali umekaa miaka 23 bila kutumia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom