Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu ambao huwa hawanywi tungi , hawavuti sigara wala kuwa na mamichepuko, huwa wanapeleka wapi hela zao ? Tulitegemea kwa kuwa wana accumulate hela nyingi basi watakuwa na vitu vya kutisha sana...
17 Reactions
183 Replies
14K Views
Salam senu kwa mpigo eti. Ngoja niende kwenye hoja. Hivi nyie tigo mmekuaje kutubalidikia hivi na ka-msemo kenu ka saizi yako?? Tulizoea unajiunga unapata bando la intanet,dakika na sms lukuki...
3 Reactions
65 Replies
7K Views
Hujambo ndugu msomaji. Leo nataka unijibu hima! Hivi nikwanini watu hawawi upande Wa makonda? Ipo hivi hata kutokee ugomvi kwenye daladala kati ya konda na abiria, watu wote watasimama upande Wa...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Miaka iligunduliwa Zamani sana. Maana ya mwaka mmoja ni muda inaoutumia Dunia Kumaliza Kulizunguka Jua katika Muhimili wake. Sasa swali la kujiuliza hapa ni Moja, Ilikuwaje huyo aliyegundua...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Dodoma. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye amelieleza Bunge leo Jumanne Mei 14, 2019 kuwa kituo cha televisheni cha Azam jana Jumatatu kimepokea leseni ya kuonyesha...
1 Reactions
74 Replies
13K Views
Aisee huyu jamaa ni noma kwenye kutafsiri muvi kutokana na mbwembwe zake na kiswahili chake cha kikenya. Hakika hata kama muvi ni mbaya ila akiishika huyu jamaa lazima utafurahi tu. Maneno...
4 Reactions
53 Replies
8K Views
Habarini wana JF.naamini tuwazima wa afya njema,niende kwenye mada husika; Nipo kwenye nyumba ya kupanga,sasa ikifika suala la kulipa bill ya umeme kuna ma jiwe hao kila siku wenyewe pesa...
1 Reactions
5 Replies
7K Views
kuna utapeli unafanyika na wamachinga wanaotembeza bidhaa za wembe kwenye maduka kwa kudanganya kuna promotions za kampuni husika, wanalaghai wateja kuwa ukinunua bidhaa hiyo unapata zawadi ya TV...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakuu naombeni maana ya maneno haya:- -Kuna anaejua alafu anajua kuwa anajua. -Kuna anaejua alafu hajui kuwa anajua. -Kuna ambae hajui na anajua kuwa hajui. -Na kuna ambae hajui na hajui kuwa hajui.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa kweli Watanzania tunalaliwa kila siku. Hoteli aliyolala Rais Magufuli wakati akiweka Jiwe la msingi katika Mradi Stieglers Gorge ina bei ya kutisha. Kwa siku ni dollar za Kimarekani 3000...
18 Reactions
121 Replies
21K Views
Jamani ni haki kweli mtu umelipa Tsh 650/=then mnasubiri gari kituoni kwa muda lakini baadae mnaona gari inakuja mnajiandaa kujiweka tayari ghafla linapokaribia dereva anaongeza spidi anaamua...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Tunakoelekea Sasa sio kuzuri, imefikia hatua Stanionaries zimegeuka vijiwe vya kujazia fomu, kuandika barua za mwaliko, kuprint online NIDA Id's na Mambo mengineyo. Kuna hatari inakuja Kama...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Habari: Leo nataka nizungumzie maswala mawili ambayo yanahusu hii mitandao ya simu ya hapa kwetu tanzania, ambayo si Mambo ya kuambiwa bali nimeyashududia kwa macho yangu. La kwanza kabsa ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna jirani wangu kaibiwa milioni moja laki saba na kijana wake wa kazi, cha ajabu Polisi Buguruni wanamwambia aende Vodacom na Vodacom nao wanamwambia aende Polisi yupo njia panda hajui afanyaje...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Confidence ya Mwanaume iko kwenye HELA alizonazo,Confidence ya Mwanamke iko kwenye UZURI alionao kufanya HELA za Mwanaume zimfuate Zenyewe
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari ya jioni wana jf, naamini muwazima wa afya njema, Leo kidogo nimekuja kulitolea uchovu suala juu ya watu ambao wanaamini uwepo wa Mungu lakini pia kuna wale ambao hawaamini uwepo wa Mungu...
4 Reactions
76 Replies
5K Views
Nina omba nikili kuwa kuwa baada ya kuhitimu shahada yangu ya kwanza nilikubali kuajiliwa kwa miaka mitano. Naomba niseme ukweli tangu awamu hii ya tano iingie madarakani mimi ni miongoni mwa...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
mambo vipi wana jamvi mimi nimekua nikitumia hii app ya taxify kwa ajiri ya safari zangu mara kwanza walianza vizuri lakini kipindi hiki wamekua matapeli sana kwanza kampuni gani aina address...
3 Reactions
95 Replies
17K Views
Hivi juzi kati nimefanikiwa kuuza banda langu ambalo nimetangaza sana hapa JF. Nilichogundua wanunuzi wana nia ya kutapeli pia sawa sawa na wauzaji wengine. Mnunuzi alikuja yuko full na...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu salama!! Naomba kujua mabasi yanayoanzia Dodoma kwenda mwanza!! Natokea dar kwenda dodoma sema nitaondoka nimechelewa kesho asubuhi nataka kuondoka na basi la dom mwanza la Saa kumi na mbili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom