TAASISI ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), imejipanga kuanza kutoa huduma za mionzi kwa njia ya mtandao kwa ajili ya kusoma picha za X-Ray.
Kupitia huduma hiyo, mashine za kisasa zitafungwa...
Freemasonry is a fraternity that encourages continual self-improvement by association and contemplation with other men that have sworn to uphold a certain moral code. “We make good men better” is...
Kufuatia hitilafu ya kukatika kwa umeme kulikotokea asubuhi ya Agosti 1 katika maeneo mbalimbali ya nchi, msimamizi wa nguzo kubwa za umeme ameshushwa cheo kwa kile kilichoelezwa kwamba Serikali...
Kufatia taarifa ya serikali juu ya kuipatia azam media leseni ya kuruhusu kuonyesha CHANELI za ndani ya mwezi may mwaka huu
IN SUMMARY
Serikali imeikabidhi televisheni ya Azam leseni ya...
Hawa jamaa wana roho mbaya sana. Hivi chanel ya kbc ambayo nimeilipia inawahusu nini?
Kwa nini kila mpira ukitaka kuanza mnazifunga chanel zao kwenye li mbuzi lenu?
Aisee natamani mnirudishie...
Nina ujuzi katika maeneo yafuatayo,
1. AutoCad
2. ArchiCad
3. Master Series
4. AutoCad Civil 3D
5. Excel n.k.
Nina matokeo mazuri, nina uwezo wa kufanya kazi vizuri kulingana na specifications...
Habarini wakuu
Nikiwa safarini jijini dodoma nilienda bar moja ipo eneo la makole, kuna meza walikua wamekaa mahakimu na binti mmoja....baada ya dakika chache alitoka binti mmoja nje na mwanaume...
INNOCENT CYPRIAN KUNDY.
Mwanafunzi wa shule ya msingi Mirambo ,Darasa la saba.
PICHA YA MTAJWA HAPO JUU NI MDOGO WANGU NA AMETOROKA NYUMBANI TANGU JUMAPILI JIONI.(21-07-2019)
NAOMBA MSAADA KWA...
Kuna tuhumu (sina uhakika labda ni wivu tu) kuwa matajiri wengi/wanasiasa/watu mashuhuri wengi afrika hutumia nguvu za kiganga na kishirikina kujizatiti.
Ila jambo la ajabu tabaka hili la watu...
Kwa huzuni kabisa wakati nasoma post mbalimbali kutoka kwa magreat thinkers through JF something was not good at all, naomba nieleweke kuwa kwa sasa mipasho na majibu yasiyoendana na watu wenye...
Naombeni msaada kwa anayejua utaratibu wa kupata cheti kingine. Nimepoteza cheti cha degree kilichotolewa na Chuo kikuu cha Dar es Salaam. Anayejua utaratibu naomba msaada.
Natafuta waimbaji wa nyimbo za Injili (Gospel) walioko maeneo ya Mwanza, Shinyanga na Simiyu.
Nina project nafanya inaweza kuwasaidia sana. Wasiliana na mimi mapema iwezekanavyo.
Habari wanabody.
Hii habari imenishtua kidogo. Kama ni kweli basi wankenya wapo juu mawinguni kwa wizi
China yashtushwa baada ya kontena la msaada waliotoa kwa serikali ya Kenya kuwasili likiwa...
"Nimelazimishwa kukutana na mama watoto not by ndoa na ndugu zake eti bila hivo mtoto hatotembea.."
hivi kwa wajuzi kuna ukwel ndani yake..?? "yaani inafika stage mpaka wanani mind balaa" mwisho...
Leo nimetunukiwa trophy ya uraibu,ni mafanikio kwangu humu jf.Naombeni muongozo wenu nyie vibabu vya jf mliokaa sana jamvini mpaka vikalio vimeota sugu,je ni trophy gani yafuata baada ya hii...
MFAHAMU MNYAMA NZOHE.
NZOHE huyu ni mnyama mwenye rangi ya kuutia, hupatikana sehemu nyingi duniani,ingawaje maeneo mengi ameshatoweka kabisa, kabla sijaendelea napenda tu ujue kuwa na huyu...
Habari waungwana nimepatwa na mshangao baada yakupokea bill mpya ya maji mwezi July, mfano mwezi juni nilitumia units 33 bill ilkuwa 27212/= ya mwezi july units 23 bill 31415/= huko kwenu vp, au...
Ombi langu kwa Wasumbuaji wa Uraia wa Watanzania
Naomba Siku zingine muwasumbue pia na Watanzania watokao Mikoa ya Mara, Arusha, Kilimanjaro, Rukwa, Mbeya, Ruvuma, Lindi na Mtwara na msiwe...
Mimi ni Mtanzania na ninatakiwa kupata pasi mpya ya kusafiri. Moja ya sharti ya kupata pasi hii ni kuwa na kitambulisho cha Taifa au kuwa na nakala ya kitambulisho baada ya kuwa na namba ya...
Mimi binafsi nincho kitambulisho cha TAIFA ila baada ya kufikiri nimeona kwamba kwa sababu tayari tunao uwezo kuomba Passport online kwa nini mifumo ya NIDA isibadilishwe kumwezesha mtu kuomba kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.