Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti, ninasikia NSSF wamesitisha fao la kujitoa kwa wale...
TABIA YA KINYONGA.ubadilika rangi kulingana na nazingira kama ni kijani huwa kijani kama ni blue huuwa blue na pia hutembea taratibu kama vile andako c mbali, vijana wengi na wazee pia wanatabia...
Halo JF.
Nipo hapa Nyumbani nasikiliza Terminal ya clouds FM radio ya jiji la karaha na raha la Dar.
Wanaonekana kupinga michango ya harusi wakidai sio lazima. Wote Haris Kapiga na Lilian Mwasha...
BARAZANI
Boris Johnson: Kichwa kimoja ndimi nyingi
Na Ahmed Rajab
MARA nyingi lisemwalo huwa lipo na kama halipo li njiani laja. Lililokuwa likisemwa kwa miezi kadhaa iliyopita likihanikiza...
Wakati idadi kubwa ya Watanzania inapinga vikali taasisi za intelijensia kuwafanyia ushushushu viongozi wa siasa na raia wa kawaida, Tanzania inashika nafasi ya pili duniani-nyuma ya...
Bilionea wa India V.G. Siddhartha amekutwa amefariki baada ya kupita siku mbili toka atoweke, inaelezwa mwili wake umekutwa kwenye ukingo wa Mto Netravati na Polisi wanachunguza kama aliamua...
Habari wajameni! Nitakuwa nawaletea aya zinazofurahisha kutoka kwenye Qur'an (na khadith) kwa lengo la kuelimishana. Hakuna kashfa kwenye uzi huu tafadhali.
Aya ya leo ni kutoka Qur'an Sura 17...
habari wadau..
leo ilikuwa tarehe niliyomaliza chuo kikuu mwaka 2009...
nilibahatika kupata ajira ya kwanza mapema sana mwezi mmoja baada ya kuhitimu chuo mwaka 2009..
toka mwaka huo mpaka leo...
Nina Wanyama wangu ninaowafuga ( watunza ) hapa Kwangu lakini naona ni kama vile sasa wananisumbua na kama vile wananikwamisha mambo yangu huku wakichangia mno kuharibu Ustawi mzima wa wana...
Ni case ilivyo kuwa
Jamaa kakutana na Mawakala wanaosajili mtaani,
Ukaanza utaratibu wa kusajili ikafika hatua ya kuweka dole gumba akaweka akapokea meseji kwenye simu kwamba kakamilisha usajili...
Wana jamvi katka research yangu hapa bongo land sijaona mbongo anaefanya ile stand up comedy vile inavotakiwa...In short wengi wao hawaitendei haki hii kitu nionacho mimi wanaishia kubwabwaja tu...
Vodacom kama mnausoma huu uzi inabidi mrudishe vifurushi vya uni offer,wateja wenu wanalalamika,muda si mrefu mtakosa watumiaji maana tunahamia mitandao mingine
RUDISHENI VIFURUSHI VYA UNI OFFER
Habari wana JF,
Nimebahatika kupata visa ya kwenda Marekani kwenye mkutano utakaofanyika Washington D.C tarehe 19 August mwaka huu.Itakuwa mara yangu ya kwanza kupanda ndege hivyo hata taratibu za...
Naomba kuelimishwa. Kawaida kwenye mashirika, taasisi na makampuni mbali mbali huwa Mkuruguenzi mkuu huwa anaingia kwenye Bodi ila anakuwa tu mjumbe au katibu wa Bodi husika. Ila nincho shangaa...
Unatoka nyumbani mida ya saa 12 kuwahi kwenye pirikapirika za hapa na pale kutafuta chochote kitu kwa ajili ya familia uliyoiacha nyumbani.
Ghafla njiani gari uliyopanda inakanyaga bomu...
aisee huu mtandao umeongeza sana gharama za MB zamani walikuwa wananipa Gb 1 Kwa buku kwa ofa za Uni sasa hivi Gb 1.5 kwa wiki kwa buku 5 aisee nani mwenye uwezo wa kuendelea kutumia internet...
Wakuu kwanza samahanini kwa kuwasumbua, Pili. Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri wenu kwa kilichonipata. Nitaenda kuwahadithia kwa kifupi sana
.
Mimi ni kijana wa kiislamu, naishi Dar, mwezi mmoja...
Jeshi la Polisi kanda maalum Dar es Salaam linamshikilia Daudi Ramadhani Iddy (23) mkazi wa Tabata Segerea kwa kujifanya ofisa wa Polisi, akiwa amevaa sare za Jeshi la Polisi na cheo cha mkaguzi...
Ethiopia kuna ndege nyingi ila kila Leo hali ya uchumi iko mbaya zaidi .
Tunahitaji pembejeo za kisasa katika kilimo
Tunahitaji viwanda vidogo vidogo sio vikubwa
Tunahitaji Maji safi na salama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.