Tunaiomba Serikali hasa uongozi wa Mkoa wa Mwanza waingilie kati suala hili

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Mimi ni mteja wa Mwauwasa na kwa wastani ninalipa Tshs.25,000 kwa mwezi. Tulielezwa kuwa kuanzia mwezi huu kutakuwa na marekebisha ya bili za maji kwa sababu Mamlaka imekuwa ikipata hasara kila mwaka. Leo sikuamini macho yangu nilipoletewa bili ya Tshs.104,000 kwa mwezi Agosti, 2019. Binafsi naona kama Mamlaka haijawatendea wateja wake haki yaani kutoka Tshs.25,000 mpaka Tshs.104,000 kwa mwezi. Hii haiwezekani hata Mahakamani tutaenda. Tunaiomba Serikali hasa uongozi wa Mkoa wa Mwanza waingilie kati suala hili. Kwa kweli inasikitisha.
 
Wamepandisha tozo za maji maana zilitajwa kama taasisi zisizoingiza faida
 
Mimi ni mteja wa Mwauwasa na kwa wastani ninalipa Tshs.25,000 kwa mwezi. Tulielezwa kuwa kuanzia mwezi huu kutakuwa na marekebisha ya bili za maji kwa sababu Mamlaka imekuwa ikipata hasara kila mwaka. Leo sikuamini macho yangu nilipoletewa bili ya Tshs.104,000 kwa mwezi Agosti, 2019. Binafsi naona kama Mamlaka haijawatendea wateja wake haki yaani kutoka Tshs.25,000 mpaka Tshs.104,000 kwa mwezi. Hii haiwezekani hata Mahakamani tutaenda. Tunaiomba Serikali hasa uongozi wa Mkoa wa Mwanza waingilie kati suala hili. Kwa kweli inasikitisha.
Dahhhh kwan una kiwanda mkuu
 
Hakuna cha kiwanda. Ninaishi kwangu na familia ya watu wachache tu.
 
Back
Top Bottom