Nilinunua Mlimani City: SamSung Galaxy Note 4 (naiuza laki 5 tu, nilinunua laki 9.5)

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Habari za kazi wana JF!
Nina dharura imejitokeza nyumbani hivyo naamua kuuza mtambo wangu niliyokuwa nafungia mtaa, SamSung Galaxy Note 4 niliyoinunua Mlimani City wiki 2 zilizopita baada ya kulia sana kupunguziwa hadi nikaing'oa kwa Laki 9.5, nikaipiga na Screen protector ya Kioo the same day! Ni nyeupe...na kifimbo chake (nakipendaje!) Naiuza laki 5 tu fasta niokoe majanga, but lazima ninunue simu kam hii tena, I swear!

Specs za SamSung Galaxy Note 4 original zinajulikana so sina haja ya kuandika tena, tuwasiliane kwa 0765 900224
 
Umenunua mlimani city!kwa hiyo na ww ni mmoja ya watu wa kifika hapo wanabadili uraia wanakua waingereza?
 
Back
Top Bottom