Je, wajua?

Je, wajua?

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
766
Reaction score
1,536
Inatajwa kuwa #Mende walikuwepo duniani miaka milioni 120 iliyopita,kabla ya wanyama wakubwa kama vile Dinosaurs na bado hajawahi kupotea.Mende ni mdudu anayetajwa kuwa anauwezo wa kuishi siku tatu (3) akiwa anekatwa kichwa,anaweza kutembea na kuhisi kama mbele kuna hatari.

Kuna vitu ambavyo vinamfanya Mende aishi akiwa hana kichwa,sababu kubwa ni kutokuwa na "Moyo" ambapo kazi kubwa ya moyo ni kusukumwa damu mwilini.Hivyo Mende hana damu kama ilivyo pia kwa Nzi ambaye pia anauwezo huo wa kuishi akiwa hana kichwa na anakuwa na uelekeo mzuri zaidi akiwa anapaa tofauti na akiwa na kichwa.

#Note:- Kuamini haya inakupasa ufanye majaribio kwa viumbe hivyo.
IMG-20190711-WA0045.jpeg
 
Ooh wana protin sana mende
Ukipata wawili watatu uwatafune ni raha kweli
 
Mnyama mkubwa ni tembo kwa upande wa nchi kavu au
Hao ni aina ya Mijusi wakubwa walikuwepo karne zilizopita,ndiye aliyesadikiwa kuwa ni kiumbe mkubwa sana kuliko huyu Mnyama Tembo.Upo sahihi,Tembo ni mnyama mkubwa,lakini alikiwepo kiumbe mkubwa kuliko.Na Tanzania tunayo Mabaki yake ambayo yamehifadhiwa huko ujerumani
 
Moja ya wadudu wanaobeba Siri nyingi,hasa wale wa vyoo vya uswahilini..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom