Foleni ya mwenge mataa hadi lugalo R.T.O osterbay na Tanroad mkoa kinondoni futeni kituo kimoja cha bus Mwenge

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
kutokea lugalo hadi mwenge huwa kuna foleni isiyo ya lazima kwa Gari zinazoelekea mjini inayosababishwa na kituo cha bus mwenge upande Wa Efhata bank!
Eneo hilo pamoja na kwamba kuna mchoro inayoelekeza Gari ziendazo ubungo kubana upande Wa kulia. kumekuwepo na changamoto za baadhi ya madereva wanaoelekea uelekeo Wa ubungo kupaki kushoto jambo linalochangia foleni kujaa hadi lugalo!

Ombi kwa Polisi traffic na tanroads

Vunjeni kituo kimoja cha bus cha mwenge upande Wa Efatha bank ili kuruhusu mtiririko Wa magari yaendayo mjini kuendelea kupita bila kuzuiwa na daladala zinazoshusha na kupakia! (itakuwa kama palivyo Morocco) Hii itakuwa rahisi hata kuadhibu madereva wanao block njia.

Pia Kwa mfuko Wa dharula, Tanroad punguzeni Upana Wa tuta la kati kuanzia pale daraja la mlalakuwa hadi mwenge mataa ili Gari ziendazo uelekeo Wa ubungo ziwe na njia tatu au mbili kuepuka kublock Gari ziendazo Mjini.

Baadhi ya foleni kama hizi zinatatulika bila gharama kubwa
 
Muwakilishi wao atafikisha ujumbe kwa walengwa
 
Daresalaam sio sehemu salama sana kwa kuishi,sema tu kwa sababu ni jiji la utafutaji,na unaweza ku make money na kupata michongo kirahisi....ila panachosha na pana a lot of Hussle and bustle za kijinga jinga,tataizo la foleni hadi tumezoea,unaenda sehemu ya kufika saa sita mchana,ila masaa mawili nyuma upo una safiri... what's this
 
Foleni zingine zinachangiwa na designing ya miundombinu mibovu
 
Back
Top Bottom