Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kutokana na tamko la RC kwamba watu wachafu wasiende mjini wakati wa mkutano wa SADC, DAWASCO wao wametangaza baadhi ya maeneo kutakuwa na tatizo la maji kwa wiki mbili, inaelekea matamko siku...
0 Reactions
3 Replies
787 Views
Naomba msaada kwenye mfano plate number za gari za polisi ni PT, gari za jeshi ni JW, gari za zimamoto ni ZT, sasa hizi gari zenye plate number UT ni za kikosi gani. msaada please
0 Reactions
31 Replies
20K Views
Natumai kuwa members wote humu ni wazima na kama wapo wanaoumwa then Mungu awaponye mapema. Lengo la kuleta huu uzi hapa ni kuhusu nilichokiona katika peruzi zangu mtandaoni nikaona ni vyema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hiki ndicho ambacho wameamua kufanya ! Kwa hizi bei za vifurushi, mnaumiza sana watu. Wengine hatuwezi hama voda, ila mnaishia kututesa na mapenzi yetu kwenu.
2 Reactions
133 Replies
16K Views
Habari wakuu Miezi miwili nyuma nilipatwa na mkasa wa kuvunjiwa na kuibiwa kila kitu cha ndani Hapa maeneo ya igogo Mwanza nilipokua kazini Sio siri jamaa wamenirudisha nyuma sana ikizingatia...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Bado nashindwa kumwelewa huyu jirani yangu ambae alikuwa na shughuli ya harusi ya mwanae kwa kipindi ambacho shughuli ilifanyika mimi sikuwepo kabisa hapa nchini na taarifa kuwa mtoto wa jirani...
1 Reactions
6 Replies
963 Views
Habari wana jamii forum. Kama kuna mtu yoyote ambae anauza mtungi wa Gas Empty mgodo wa KG 6 naitaji aniuzie anifuate PM tuongee , Najua sasahivi Wanafunzi wengi wa vyuo wameshamaliza na wanarudi...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Nianze kwa kuwaomba chonde chonde mods msiunganishe uzi huu na nyuzi nyingine. Niombe pia mods msiufunge uzi huu ambao ningependekeza uwanja wa kuangazia barabara hii kwa picha. Nime andika nyuzi...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Habarini za asubuhi wapendwa kaka na dada zangu wakubwa shikamoni ila kama upo chini 25 tulia. Wanajamvi kuna taarifa nimezipata juu juu ila nikaone ngoja niulize na waswahili wanasema kuuliza...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini marafiki. Nawaomba sana ukifika Postampya hakikisha uangushi kitu chini iwe tiketi ama karatasi ya vocha! ama ganda la karanga ama uchafu wa aina yoyote ile, Plz plz narudia tena, ukifika...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu!! Naomba kama kuna mtu ni mwenyeji malawi/au ana mwenyeji malawi anisaidie mawasiliano naye. Nina shida ya haraka sana. Nitashukuru sana!! Anaweza akaja pm
0 Reactions
11 Replies
985 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu kifungo cha miaka miwili jela Mhandisi, Novat Kaberwa baada ya kukiri kosa la kumuua mke wake, Clara Munisi bila kukusudia. Kaberwa anadaiwa kumpiga...
2 Reactions
58 Replies
7K Views
Nimefanikiwa kuishi katika majiji na miji kadhaa hapa nchi. Kuna tabia inakua kwa kasi miongoni mwa hawa dada zetu. Kumekuwa na ongezeke la wimbi kubwa la mabinti kwenda mjini asubuhi na kurudi...
14 Reactions
75 Replies
8K Views
Maisha hayana miujiza Bali ni jitihada. Tusipokuwa kuwa na jitihada katika maisha yetu na kusubiria miujiza, Basi tutabaki kuzungumzia tuu mafanikio ya watu wengine. Tupambane huku tukimtanguliza...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Nauliza tu kwanini kutengeneza damu wameshindwa mpaka leo? Imekuwa mtu akipungukiwa mpaka tumuongezee?
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Kwa wale waliopo Moshi Mjini mtakuwa shahidi zangu, club malindi, na black diamond zimefungwa, imebakia pub Alberto na redstone tu, sijui ni hali ya kifedha imekuwa ngumu, nahisi biashara ya disco...
7 Reactions
42 Replies
9K Views
Tulitangaziwa itakuwa inafanya safari tatu kwa wiki lkn naona ime cancel siku tatu mfululizo, tatizo nini, abiria, iko service au. Kwa mujibu wa Mkuu wa mawasiliano wa ATCL, dreamliner itakuwa...
10 Reactions
210 Replies
21K Views
Ofisa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Elias Yunus (38), anashikiliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Ilala kwa tuhuma za kuomba Rushwa ya Sh milioni 50 na...
4 Reactions
72 Replies
10K Views
Wanaitwa snake eels/ jamii ya mkunga Hawa ni moja kati ya samaki hatari sana wenye umbo la nyoka kwa kwawaida wanaurefu kufikia futi saba na umbo lilichongoka mbele. Na kitaalam huu mwendo wake...
9 Reactions
68 Replies
9K Views
Habari ndugu zangu, hawa watoto wa shule kwa idadi yao hii ilivuokubwa na tena wengi ni wa kike hapa kuna usalama kweli? Maana naona wamejaa stand sana karibuni stand zote za hapa dsm wamejaa sana...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom