Tanzania inafeli suala la zuio la mifuko ya plastiki

sina demu

Senior Member
Jul 25, 2019
169
225
Hivi katazo la mifuko ya plastiki ni kwa mifuko myeusi au? Sababu sasa hivi naona vimekuja vimfuko vya plastiki vyeupe ila havina mikono, je vina utofauti gani na vyeusi au rangi na tunapoelekea vitawekewa mshkio

Hebu tujadiliane hili janga sababu tunarudi kule tulipotoka
IMG_20190801_201149.jpeg
 

sina demu

Senior Member
Jul 25, 2019
169
225
Rambo ilikua niya bluu wakaipiga marufuku ikageuzwa rangi ikawanyeusi wamepiga marufuku sahivi mweupe wakipigamarufuku Mimi ntakuja nayakwangu yenye picha ya magu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom