Katika kabila fulani, zamani hizo za utawala wa machief ya jadi, Chief alipokuwa anatema makohozi, wananchi waliokuwa wanamzunguka wanaitikia "baba tema Neema, chakula na kila baraka". Walikuwa wanayakimbilia makohozi kuwa ni baraka.
Watanzania tulipofika, bado hatua moja kula makohozi ya mtu fulani! Huku kujikomba kunavyopamba moto, tutafika hapo.
Push up ukumbi mzima umemwagika kwa makofi na nderemo!
Watanzania tulipofika, bado hatua moja kula makohozi ya mtu fulani! Huku kujikomba kunavyopamba moto, tutafika hapo.
Push up ukumbi mzima umemwagika kwa makofi na nderemo!