Tabia za waaTWIGA kwa WAZUNGU

Tabia za waaTWIGA kwa WAZUNGU

fungi6

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
287
Reaction score
267
Huu ndio ukweli kuusu uzungu wa ki Twiga(tizi). Mwezi juzi ninetokea Dodoma kuja jiji la kitalii(ARUSHA) kuja angalia namna yakupata mkate wetu wa kila siku baada yakuona maombi mengi mno kuja kutoka Arusha kuja Dodoma kwa ajili ya kufunga security system kwenye majumba yao kwa ubora mno na kwa bei nafuu mno. Nikaona isiwe tabu kupata branch uko basi kuamia tu,nikajitosa kupanga maeneo flani ambapo nliona wakiniita sana. Kitu nilicho kigundua ni kwamba we are( twigas) are not fair. I ni baada yakuona maishaa ya sehemu ya kitajiri yalivyo nakuapa kua nitaishi uswazi kufa kuzikwa!!. Hi ni baada ya ku ona maeneo watashi wanapo ishi na namna wanavyo ishi.. Nika kaa offisini mwezi ila nilicho kigundua ni kua kumbe sio kila aishiye uzunguni ni mzungu hi ni bada yakuonona jinsi watashi wanavyo ishi mitaa yao ijulikanayo kama kwa matajiri au uzunguni (njiro ARUSHA). Nilicho kitambua nikua mitaa i imekua na matatizo makubwa mno likiwemo tatizo la MAJI. Hi ni baada ya kukaa officini bila maji kwa wiki na siku tatu(3) bila maji, vuta picha maisha bila maji?,,,, nikaja kugundua kumbe uswahilini maji hayakatiki nikapiga ubongo kwenzi nakujua anhaaa kumbe kule kuitwapo jangwani maji huwa yanakuwepo ila kwa nini jiji la kitalii lenye vyanzo elfu moja vya maji. huwa kuna shida ya maji,,nikaanza uchunguzi na haya ndiyo niliyo baini
  1. maji ukwatwa ili wayanunue
  2. Maji huuzwa na wenye kumiliki bomba za maji
  3. Wamiliki wengi wa bomba za maji ni wa Twiga
  4. Ufanya maksudi ili wapate wateja wa H2o
  5. Hukata maeneo pekee yenye watu wa kigeni ili wawapige vya juu .. Baada yakujua ilo nilikwazika na hapo hapo nikakumbuka nilivyo kua ujerumani jinsi nilivyo kua nsikia jinsi waweupe wanavyo sema kuusu Afrika kua bara lisilo na maji ilihalilina vyanzo vingi vya maji sikugundua kwa nini wanaongea ivyo ila nilivyoo kuja ishi maeneo wakaao waweupe wengi nikagundua kua we are not FAIR​
 
Back
Top Bottom