Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu leo nimevamiwa na vibaka ofisini kwangu wakafanikiwa kumwibia mteja simu, begi na hela. Nilichofanya nimeripoti polisi kisha wakati tunarudi tukakutana na wale vibaka nikawaambia...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
ULIMWENGU WA ROHO sehemu ya pili: Katika Biblia iko elimu kubwa pengine kuzidi uwezo wetu wa kutambua na kutumia maarifa yaliyopo ndani ya Biblia Takatifu. Elimu ya nadharia ni elimu isiyo na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo, Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa nane, ni siku ya kimataifa ya kinywaji kijulikanacho kama beer; iliasisiwa mwaka 2007 tu. Kama hujawahi kuonja beer, tumia siku ya leo kufanya hivyo lakini...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
"Kwa sababu ni mwandishi wa BBC, anaongea na wazungu, basi akishikiliwa ni habari kubwa, ila mimi najua wanahabari wengi wanahojiwa, haiwi habari. Uhamiaji wameeleza kuwa wamekuwa wakimchunguza...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana JamiiForum. Awali ya yote natanguliza shukrani kwa wadau wote wa JF. Nimejiunga Jamii Forum ili kupata ujuzi, ku-share mawazo na kuongeza maarifa mbalimbali maana naamini humu kuna...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Kama mtu umefanikiwa kupitia mgongo wa mwanamke kwanini usikubali tu. #REPOST FROM mwanakijiji lugusi Mke wangu mimi ni darasa la saba, mimi nimemaliza chuo kikuu ni mhasibu nafanya kazi benki...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Anaitwa Secretary bird,kwa kiswahili ni Karani Tamba. Karani tamba ni miongoni mwa ndege ambao wanapatikana kwa wingi hapa nchini Tanzania hasa huonekana kiurahgisi katika maeneo tengefu ya...
4 Reactions
18 Replies
46K Views
Habari wanajopo mliopo humu ndani! Ninahitaji passport ila katika vigezo moja wapo ni pamoja na kuambatanisha cheti cha mzazi mmoja wapo cha kuzaliwa,lakini mimi hao wazazi wenyewe walifariki...
1 Reactions
10 Replies
947 Views
Habari za zenu ndugu wana Jf. Hitifaki imezingatiwa: Nimeanza kutumia jamii forum miaka 5 iliyopita kwa User name tofauti tofauti na yote kilichonifanya mpaka nibadilishe majina ni kutokana na...
1 Reactions
1 Replies
798 Views
Habarini wadau, ligi yetu nimeifuatilia kwa miaka kadhaa sasa na nilichogundua ni upuuzi wa hali ya juu unaoendelea huko. Hasa hasa hili la udhamini. Kipindi cha nyuma kilimanjaro ndio ilikuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana jf, ninauliza kama kichwa kilivyoeleza hapoi juu je, kuna umuhimu wa kuomba kurudi kazini sehemu uliyosimamishwa kazi? na je, nini athari zake kwa ujumla?
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ningependa kupewa mrejesho wa bbc hardtalk iliyoangaliwa Dunia nzima na mabilioni na kuvunja rekodi, nini kilifwatia? Kwani nijuavyo mimi Mshahara wamekata, Ubunge wametosa sijui kiinua mgongo...
1 Reactions
9 Replies
987 Views
Aman kwenu wakuu Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu Nianze tu kwa kusema JF ni zaidi ya chuo kikuu, Mwana JF alieishia kidato cha nne ana uelewa mwingi sana wa mambo kushinda hata...
16 Reactions
49 Replies
5K Views
Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga amefungua kesi mbili za madai ya talaka kwa wake zake wawili katika Mahakama ya Mwanzo ya Ukonga. Katika kesi moja ya kesi hizo ambayo ni ya madai namba 180...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukiilewa dhana ya dunia halisi tunayoiishi kwa sasa wanadamu basi itakusaidia kuijua vema nafasi yako kama mwanadamu na namna sahihi ya kuweza kujiweka katika nafasi nzuri ya kuenenda na kasi ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Muigizaji wa filamu za Bongomovies IRENE Uwoya AOMBA Connection kwa Rc Paul Makonda Kufuatia Ugeni wa SADC... Ataka Kitengo cha kumpokea Mfalme Mswati na wageni wengine Awekwe yeye, Adai yeye ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii baridi ya NJOMBE ni noumaa Ndio maana vijana wa NJOMBE wakienda kusoma ULAYA hususani nchi za SCANDINAVIAN (Denmark, Sweden, Norway na Finland) wala hawapati shida wanakuwa wameshazoea hali ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Vitendo vya watu wasiojulikana kuendelea kuteka watu kila kukicha bila kudhibitiwa wala kukemewa vimewafanya wananchi wengi hata ambao hawakupenda kumiliki silaha kuamua kuomba vibali vya kumiliki...
10 Reactions
89 Replies
15K Views
The True cost of losing a customer. One negative customer experience may seem like a drop in the ocean of all your customer interactions, but it’s never that simple. Losing a customer isn’t as...
18 Reactions
74 Replies
50K Views
Kiswahili kinaposafiri kutoka Afrika Mashariki hadi Amerika Kusini. Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili, Andrea Schmidt, alikutana na mtumbwi huu ulioandikwa neno HAKUNA MATATA kwenye pwani ya Chile hivi...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom