Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Ningependa kupewa mrejesho wa bbc hardtalk iliyoangaliwa Dunia nzima na mabilioni na kuvunja rekodi, nini kilifwatia?
Kwani nijuavyo mimi Mshahara wamekata, Ubunge wametosa sijui kiinua mgongo vipi ila inawezekana pia itakuwa hola kwani nimeanza kuona wanakimbilia Mahakamani tena Mahakama yetu na siyo ya Muzungu kushitaki ilhali walitamba hawahitaji hela zetu kwamba wangemchangia, ...