Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Itakuwa vigumu sana watu kuliita daraja la juu pale TAZARA Mfugale badala ya jina lake halisi la TAZARA, labda TAZARA ihamishwe pale.
10 Reactions
59 Replies
10K Views
Wakuu Kwema? Leo nilikua najaribu ku scroll kwenye list ya Chanels nikashangaa kukuta Channel 10 inaonyesha. Kuna mwenye taarifa juu ya sababu za kurudishwa channel hii na sio zingine atusaidie...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
A Thought of Sunday: MATHEW 5: 27-28 “You have heard that it was said to those of old, You shall not commitadultery.’ But I say to you that whoever looks at a woman to lust for her has already...
0 Reactions
3 Replies
570 Views
Wakazi wa Morogoro ni kweli Puma AG (Kampuni ya vifaa vya michezo na mavazi) wana kiwanda huko? - Kiwanda hicho kinapatikana maeneo yapi? Wameajiri wafanyakazi wangapi? Vibarua wangapi...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Mimi mvuvi navua kila bahari, Nimevua majodari na papa wakuchagua, Leo kanishinda tasi samaki wakutumbua, Ama kweli bahari kuvuma kusi ndio matilai yake. Swali mvuvi ni nani???
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wiki iliyopita kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Gilbert Muroto aliwaomba wananchi wote wa Tanzania ,walichangie jeshi la polisi pesa na vifaa mbalimbali ili liweze kutimiza majukumu yake kwani...
35 Reactions
46 Replies
7K Views
We endelea kukimbiza mbawa zako kama kunguru mwoga endelea kuogopa risk endelea kutafuta kazi zenye security endelea kuilaumu serikali kwa ugumu wa maisha yako, endelea kusubiri kupandishwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wadau, nimekua nikiona mifumo ya engine ya denge mfumo wa jet na turboprop (panga boi) naomba nijulishwe kila moja ufanisi wake ukoje? Faida na hasara ya kila aina karibuni wadau hata...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Nina shida ya kujifunza accounting software yoyote mfano tally, QuickBooks,excel etc Kwa yoyote anaefaham chuo chochote ambacho kinatoa short course za hiyo kitu kwa gharama...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wauza mahindi ya kuchoma barabarani wa Tanzania huwa spidi taratibu cheki wenzao wa kenya,Mtanzania akienda kuuza mahindi ya kuchoma kenya ataweza kweli kwa spidi hizi
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Katika designing! Jambo mhimu na kubwa huwa ni safety! Asilimia 40% ya foleni na ajari nyingi bongo zinasababishwa na kosa la kiufundi- MIUNDO MBINU (Technical problem), asilimia 40% zingine ni...
6 Reactions
62 Replies
7K Views
Hakuna MWANAUME Aliyechelewa Maisha Wala Hakuna Mwanaume Aliyewahi Maisha kila Mmoja Ana Nafasi Ya Kuwa Bora Cha Msingi Ni Kupeana Heshima Na kupeana Moyo.
2 Reactions
32 Replies
5K Views
1. Nimeuza nyumba yangu na viwanja wangu viwili ili nimlipie ada " Aisha" mpenzi wangu. He mimi ni nani? 2. Nimekimbia chuo baada ya kupewa boom la semester ya pili na pesa ya research nimeenda...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba kufahamu HQ's za Adidas, Nike, Puma, Under Armour na New Balance kwa East Africa zinapatikana sehemu gani? - Je Sports Outlets tajwa hapo juu wanadhamini Club au Team yoyote ya michezo kwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
what is power? Who are powerful? Who are without power? Why the powerful have power? Why powerless without power? Who made decision? Who benefit? Who looses? What should we do?
0 Reactions
5 Replies
758 Views
kuna mitandao mingi ya kijamii lkn umaarufu wake hutokana na jamii unayotumia mitandao hiyo. Leo tutajadili sifa za WATUMIAJI WA MITANDAO ya Twitter, jamii forum, Instagram na Facebook. 1...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wapenzi wafuatilizi wa tamthilia hii ni kama ilivyokua sultan yaani hii waaris inazifanya family ziwe antention balaa sio vijana sio watoto sio watu wazima Huwa namuonea huruma sana amber daah...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Samahani ndg naomba kujulishwa basi zuri la Dar -Nairobi na lenye nafasi ya kutosha ndani asanteni
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Juzi Alhamisi saa tisa alfajiri nilifanya malipo ya Azam Tv kupitia tigopesa kwa kiasi cha fedha taslimu Tsh 28,000. Mpaka kunakucha huduma ya TV ilikuwa haijafunguliwa japo nilipata meseji ya...
0 Reactions
4 Replies
933 Views
Elimu imeandaliwa kumfanya mtu ajitegemee na afanye mambo yake kwa kujiamini pasi na ushirikiano kwa kiasi kikubwa kama ulivyo unahitaji wa uhalisia ili kufanikiwa. Elimu inaweza kuwa pombe katika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom